Kuna mapenzi kweli hapa jamani?

Kuna mapenzi kweli hapa jamani?

Hahahaa haaaa huo ndo ulikuwa mtindo wetu tulipokua chuo!!
lazima ujute, ukimtongiza 1 tunakuja wa 4, km ulikuwa unabeep na hela ya mawazo ndo utajua.

aaaaaagh! kumbe uko huku? ulikuwa unanifanyia makusudi enh? yaani siku ile sitasahau boom langu! Hatareee!
 
alikwambia huwa anachungulia JF? Ungempa za uso ungejikia mwepesi zaidi mkuu! au ulidanganya kuhusu kipato chako?
Angalia usijekuja kufa na tai shingoni
 
sasa wew wakati unamfata ulimwambia unamiliki kampuni yako binafsi ulitegememea nin.ni bora ukawa na mpenz ambaye anajua maisha halisi ya mpenzi wake ilinae ajishitukie katika matumizi yake...
walio na kampuni binafsi ndo wanastaili kufanyiwa hivi?
 
empty-pockets.jpg

^^
Teh teh
^^
 
Hahahaa haaaa huo ndo ulikuwa mtindo wetu tulipokua chuo!!
lazima ujute, ukimtongiza 1 tunakuja wa 4, km ulikuwa unabeep na hela ya mawazo ndo utajua.

hahahha duh sema mlikuwa mnakutana na vivulana mie ningewalisha na ningemgegeda kila mmoja wenu...alafu nahakikisha siku nipo bed tumeshamaliza majambo na kwambia...lakini bby unajua yule rakifiki yako lola anagejiunga na sie sii tungefurahia sana haka kamchezo ana wowowo ya ukweli lol
 
Hahahaa haaaa huo ndo ulikuwa mtindo wetu tulipokua chuo!!
lazima ujute, ukimtongiza 1 tunakuja wa 4, km ulikuwa unabeep na hela ya mawazo ndo utajua.

Hamjakutana na manunda, anawaambia agizeni tena then anajipigisha simu.Mkimaliza kula sasa ndo hapo mtatamani ile mitumbwi ya samakisamaki ingekua kwenye maji.
 
tatizo ulimdanganya utamnunulia ndege ya kwendea sokoni hali yakua wewe mwenyewe umevaa kanda mbili ya blue na nyekundu alafu zinaangalia upande mmoja(mazengo)
ulitegemea nini ?
images.jpegtemp2.jpg
 
Back
Top Bottom