kholo
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 413
- 76
''Baby Nimemiss kweli Muvi,Can we go sa 2 tukacheki pale Mlimani nimeona ratiba Muvi ya Road to Freedom ya Mandela imetoka.Now niko home huku KITUNDA kwa Shangazi,ntakuja kwenye Saa 1 na nusu hivi na Taxi,nikifika ntakubeep utatoka uje kumlipa dereva pale kwenye Entrance ya ATM ya CRDB pale,sawa bebi eeh,xoxoxo'
Ukimwambia apande Bajaj ili angalau Cost ya Usafiri ipungue hataki anakwambia,'No Baby, Bajaj kelele sana halafu naogopa ajali coz hazina Seat Belt'
Ratiba umeanzisha wewe...Hela ya Taxi nilipe mimina Tiketi ninunue mimi..Taxi Kutoka Kitunda hadi Mlimani City kweli???
Hivi nyie Viumbe mnadhani Boxer zetu zina Mbolea kwamba tukiamka tunakuta Elfu Kumi Kumi zimechipua asubuhi ama??Hata kama ndo unamkomoa mtu jamani khah,ghrama zote hizi halafu unaambulia busu kwenye shavu,kiruu!
Kwa mwendo huu Bora kuwa single haki ya nan