Kuna mambo tunayajutia

Kuna mambo tunayajutia

Najutia kutonunua bitcoin zilipoanza, ningetumia dola 50 tu ningekuwa milionea sasa.

Wangapi wanajutia kumpigia kura Magufuli?
Acheni undezi kila kitu makufuli makufuli mwacheni...iko siku mtamkumbuka.
 
Najuta nchi yangu utawaliwa na ccm najuta sana kwa kulaani waliounda hki chama mpaka nikakua nikakikuta
 
Sijutii chochote, yalopita yamepita nasonga mbele.
 
Mimi sijawahi kujuta, kuna wakati huwa natamani nijutee lkn nikikumbuka mambo yote yanafanyika hivyo yalivyo
Ni nafasi ya kujifunza
 
Back
Top Bottom