Kuna mambo tunayajutia

Kuna mambo tunayajutia

Hi there!
Ok katika maisha kuna matukio yanatokea alafu baadae unajikuta unajilaumu au kujutia sana.
Binafsi najutia kukutana na kijana mmoja ambaye tulipendana sana
Lakini baada ya kusumbuana akawa na mawivu kupindukia nikajagundua ana mke na watoto wa3 lakini moyo wang haukuacha kumpenda hadi leo.

Pamoja na kumpenda nilimwacha aende namuwaza sana japo nimemblock kila sehemu nailaani sana siku niliyokutana nae.

Elezea na wewe unachojutia!

Sent using Jamii Forums mobile app
daah..huyo jamaa fisi kweli..amekula utam wako na akasepa kwa mkewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najuta kipindi kile nikiwa na pesa ya kutosha nilidharau fursa moja nzuri ya biashara, wenzangu walioiona hiyo fursa sasa hivi wapo mbali
 
Najutia kukutana na ester
Hyo cku na ilaani wetu

Relationship zngne hazfai kabisa

Triple A
 
Back
Top Bottom