VAN POSEIDON
Member
- May 22, 2012
- 5
- 1
Kwani wewe kwa uelewe wako mapenzi na sexy ni kitu kimoja? Mie nadhani mapenzi ni pana zaidi, na katika mazingira fulani sexy ni indicator ya mapenzi. we lizzy mie nakutrotia unataka uende kwa van ndoo nini hivyo au hunioni?
Hivi sex ni mapenzi?
Mapenzi ni makubaliano ya watu wawili.kama terms zenu ni no ku do ..Automatically
mnapokuwa pamoja mnaongelea maendelea
Siasa za CCM na Chadema ,Maisha kwa ujumla na mengineyo
Mie nadhani inawezekana lakini pale mtakapoamua sasa tunaanza ku do tumeshindwa mapenzi bila kudo mnaangalia si mnakubaliana tu ....
karibu mgeni naona post yako ya kwanza inaanzia mapenzi bila sex..
Kuna mtu kakunyima ?
Haswa Lizzy, nataka mapenzi tu, sexy utaomba wewe then nitakufikiria
Ndugu nilikuwa naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa watu kupendana kwa dhati kimapenzi bila kuenjoy sex?