Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,149
Hasira hasara
Iβd argue, but youβre already losing to yourself πWhat a life it must be to have a pussy between your legs. Can accomplish anything for no work, never take accountability for not doing that work and still have people begging to take care of you because of your piss flaps.
Insane a woman finds anything to complain about
Utaweza kudeal na mood swings za wanawake wanne mkuu?Mood swing zinawatesa sana wanawake mpaka kufikia kwenye matatizo ya afya ya akili ndio maana mimi nimeamua kuwa na mke mmoja na michepuko yangu miwili bado mmoja ifike mitatu niwe na wake wanne kwishaaa.
Asante sana ππ«Pole sana
Tayari nimemuomba msamaha, ila ameniambia tu kwamba "nimemuumiza sana" na mimi nimeona kabisa nimemkosea, so hiyo hali inaniuma na mimi.Wanasema mkubwa akivuliwa nguo huchutama... Hakuna kitu mwanaume anapenda akikosewa kama kuombwa msamaha.
Nampenda, ananifurahisha sana, sitaki mwingine π«Tafuta mwingine maisha yenyewe ndio haya enjoy
Good advice, nimefanya hivyo, acha nimpe muda na nisimsumbue kwenye simu.Omba msamaha, hakikisha unaonyesha ni wapi hasa ulikosea na sio kuzunguka zunguka kisha mpe muda afikirie mwenyewe kama atakusamehe au la sio kumshinikiza kila muda "umenisamehe"
Ushauri wa busara hadi mimi nilishtuka, kulikoni leo π ππ π Vincenzo Jr unacheka ushauri wangu nini, leo nimevuta anachovuta Dr. Phil π
Kwanza elewa kukosea ni ubinadamu,hakuna binadamu asiyekosea,kwahiyo usipanik kwa kukisea.Hoja ni ni nini unafanya baada ya kukosea? Omba radhi kwa uliyenkosea na jirekebishaWiki imeanza vibaya na inaisha vibaya, nimefanya kitu cha kijinga sababu ya hasira nikamuumiza kipenzi changu. Hebu nipeni busara maana kwa sasa nimeishiwa;
- Umeshawahi kufanya kosa na ukajishtukia mwenyewe kwamba hapa ulizingua?
- Ulideal vipi na hiyo hisia ya kuwa mkosaji na nafsi kukusuta baada ya kujua umemuumiza mtu unayempenda?
- Mwisho kabisa, ulifanya nini mpaka uliyemkosea akakusamehe na akasahau ule ubaya?
Wajuaji msimalize pumzi zenu : HAPANA SIJACHEAT
View attachment 3449951