Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,876
- 11,666
Ila CCM inatia aibu kbs!!Ni magari ya bilioni 35.29 hayajulikani yalipo
USSR View attachment 2578741
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba serikali inajiibia yenyewe ? AU ni tunzi kutoa wananchi kwenye malengo ya msingi ya mijadala muhimu katika taifa hili ,Ni magari ya bilioni 35.29 hayajulikani yalipo
USSR View attachment 2578741
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupigwe bomu la nyuklia?Hii nchi inabidi tufe wote tupigwe nyuklia ikiwemo mimi. Wangapi wako na mimi? Ukikataa ndiyo ubinafsi wenyewe. Mabadiliko yanaanza na wewe na mimi..tukubali tufe wote kije kizazi kipya.
Hatuna faida tufe wote.Tupigwe bomu la nyuklia?
Nomaa,majambawazi hata mchana yapo😂Mamaaeee bongo lendi!!
Msichokijua ni kuwa hizo ni maandalizi ya kampeni zijazo, wengine wanazugwa tuuu🤸🤸.......shida sio ripoti kusomwa, shida ni wahusika kutochukuliwa hatua zozote kali baada ya ripoti, hata mwakani ripoti itatoka na kutakuwa na hasara zingine mpya afu tutaishia kulalamika hivihivi tu then siku zinasonga, sijui labda ishu inahusisha influencial figures of the nations, kwa hiyo pingine sio rahisi kuwafilisi, kuwakamata hata kuwashitaki kama tunvyodhani .......
Halafu 2025 atapita bila kupingwa kwenye chama chake.Awamu hii tutakuwa tunaibiwa mpaka na wajinga, huku bosi wao akitazama tu.
Halafu tukifa Wakenya waichukue TZ,kufa peke yako ila mimi nahamia BurundiHii nchi inabidi tufe wote tupigwe nyuklia ikiwemo mimi. Wangapi wako na mimi? Ukikataa ndiyo ubinafsi wenyewe. Mabadiliko yanaanza na wewe na mimi..tukubali tufe wote kije kizazi kipya.
Unatukimbia nasemaje tutakurudisha TZ tuibiwe wote haiwezekani utukimbie.Halafu tukifa Wakenya waichukue TZ,kufa peke yako ila mimi nahamia Burundi
Mkuu 'imhotep', nafurahi kukusoma. Kumbe bado upo!Pesa yetu ya Tozo yarabi.
[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205] huu mchezo umezidiMkuu 'imhotep', nafurahi kukusoma. Kumbe bado upo!
Tuendelee na safari yetu...' lakini naona vichwa vitazunguka sana nyakati hizi.