Hali ya hewa Juni na mafua

Hali ya hewa Juni na mafua

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,569
Reaction score
2,584
Habari wakuu, kwa wale wakazi wa Dar es Salaam kuna kihali cha mafua na kikohozi watu wengi naona wanavyo na kwangu mimi naona week hii ya pili inaenda hali ipo vile vile… Waliopatwa na hii hali njoo tafadhali tushare experience.
 
Nikiripot kutoka moro mimi ni AKAN wa ITV
 
Back
Top Bottom