aseeee mtandao uko poa sana sasa hiv wamejaribu kuirekebisha sana cha msingi iNatakiwa uwe na device ambayo ina mtandao mzuri pia hakikisha docmnts zako hazizidi mb 1.5 au 1Habarini wanajamvi
Tangu juzi najaribu kuomba nafasi zilizotangazwa na TAMISEMI kupitia OTEAS ila kuweka vyeti ( ku-approad vyeti) imekuwa shida sana. Hebu tupeane uzoefu hapa kuna wanaofanikiwa tangu juzi?
Zote kwa pamoja zisizidi mb 1 au kila moja isiwe zaid ya mb 1aseeee mtandao uko poa sana sasa hiv wamejaribu kuirekebisha sana cha msingi iNatakiwa uwe na device ambayo ina mtandao mzuri pia hakikisha docmnts zako hazizidi mb 1.5 au 1
Zote kwa pamoja zisizidi mb 1 au kila moja isiwe zaid ya mb 1
Habarini wanajamvi
Tangu juzi najaribu kuomba nafasi zilizotangazwa na TAMISEMI kupitia OTEAS ila kuweka vyeti ( ku-approad vyeti) imekuwa shida sana. Hebu tupeane uzoefu hapa kuna wanaofanikiwa tangu juzi?
Siongezi kitu maana umemaliza kila kituUshauri wangu hakikisha unatimiza yafuatayo
1. Kuwa kwenye internet nzuri.
2. Nashauri tumia UC Browser(Ndio niliyofanikiwa kufanya upload) iwe ni kompyuta au simu, ingawa unaweza pia kutumia Firefox au Google chrome.
3. Kama utatuma muda wa usiku sana inaweza kuchukua muda mfupi zaid, hata hivyo kwa mazingira yote inahitaji uvumilivu hadi kufanikiwa kuapload (Appr. 2 - 10 mins au zaid kulingana na mazingira ikiwemo PC yenyewe)
4. Pamoja na hayo yote bado inakubidi kuomba Mungu maana bila yeye unaweza hata ukakata tamaa mapema tuu, imani muhimu.
5. Jitahidi ufanyie kazi hili bado siku moja tuu.
****Ukubwa wa kila file usizidi 1Mb***
@ Manyuc