Kuna Madhara Yoyote Kiakili kwa Kula Ugali Kila Siku?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Ukienda kule kwa wayahudi utasikia wakisema 'utupe leo mkate wetu wa kila siku'

ila nadhani kwa watanzania itakua 'utupe leo ugali wetu wa kila siku'

nakusudia kwamba ugali umekua sehemu kuu ya lishe ya Mtanzania

naomba kujuzwa on a serious note; Je kuna athari yoyote ya makuzi ya akili kwa kula ugali kila siku?
 
Labda madhara ya afya ya mwili,
manake ubongo unaacha kuimarika ile miezi sita mpaka mwaka mmoja baada ya kuzaliwa, kinachofuata hapo ni ubongo kuongezeka ukubwa tu.
Sasa kama wazazi hawakukulisha vyakula vyanjano njano kama maboga, carrot n.k, hesabia maumivu...
 
Madhara yapo kidogo:-
Ugali unaongeza uwezekano wa "kufyatua ME" kuliko "KE"
 
Back
Top Bottom