Umesomeka mkuu, hivi hakuna namna ya kutoa app za Google play stand, play movie na zinginezo maana sioni umhimu wa kuzi update wakati sizitumii.Lakini kuna opposite case pia, wakati mwingine unafanya update kumbe ndo inaleta tatizo au mbaya zaidi App ambayo ilikuwa haina matangazo inaweka matangazo kwenye new update au inaondoa features. So ni muhimu kusoma reviews mpya kabla ya kuupdate.
Umesomeka mkuu, hivi hakuna namna ya kutoa app za Google play stand, play movie na zinginezo maana sioni umhimu wa kuzi update wakati sizitumii.
Kwa maana hiyo kuna umuhimu wa kuzifanyia updates
Hakuna madhara zaidi ya kumiss mambo mapya yaliyokua yameongezwa katika iyo update.