Kuna mademu wengine ni Changamoto

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Kitu pekee wanachotumia kufikiria ni maji kidogo waliyobaki nayo kichwani hakuna Ubongo kabisa?

Jana kuna kiumbe nimemtumia 50K ya matumizi ya mtoto,
Asubuhi hii ananipigia simu anasema hawana hela ya kula,

Nimekata simu sijamjibu chochote.
 
It seems tatizo linaanzia kwako.
Hiv ww unadate ma slay queen kama hao ..? Unategemea nn?
 
Kitu pekee wanachotumia kufikiria ni maji kidogo waliyobaki nayo kichwani hakuna Ubongo kabisa?

Jana kuna kiumbe nimemtumia 50K ya matumizi ya mtoto,
Asubuhi hii ananipigia simu anasema hawana hela ya kula,

Nimekata simu sijamjibu chochote.
Mkuu kwani kuna shida gani si umwambie tu aje kiwandani ale kiepe?
 
Kuna ndugu yangu amezaa na mwanamke mmoja akawa anatoa sh 70 elfu mama wa bint akawa anasema vihela, tukaamua tutoe 30 na debe mahindi
 
Kitu pekee wanachotumia kufikiria ni maji kidogo waliyobaki nayo kichwani hakuna Ubongo kabisa?

Jana kuna kiumbe nimemtumia 50K ya matumizi ya mtoto,
Asubuhi hii ananipigia simu anasema hawana hela ya kula,

Nimekata simu sijamjibu chochote.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…