Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
inaitwaje iyomtumie ile nyimbo ya Billnas Feat. MwanaFA
utamuweza ?Mwambie kuna data Jf anatafuta loose balls...
Sijawahi shindwa na pichu...utamuweza ?
inaitwaje iyo
mazoea duh atakufaicheki google mkuu
pamoja kiongoziMwambie kitumbua kishaingia mchanga hakiliki hata kwa dawa
Ndo wanawake walivo hasa wa kanda ya kati huyo anatokea wap?????Kuna Girl mmoja nipo naye at least two years ,sasa kma wiki mbili akanigeukia kabisa kila jambo nikimwambia anasema no,tena akaniambia nitafute mwanamke wa kuoa ila yeye anitaki,Dah niliumia sana nikajiuliza kwanini ananifanyia ivi,aka ni block kila sehemu mbaya zaidi akanitukana,basi mm nikawa kma mgonjwa,tukakaa kama wiki mbili kuna msichana mtaa ni nilikuwa nampenda basi Nika mtongoza bila pingamizi mtoto akanielewa sana,Jana tukawa wote na mchumba mpya tukiwa kwenye mahaba mazito dah ghafla meseji zaidi ya kumi zinaingia kwenye simu,kwa kuwa nipo na mtoto mzuri mpya sikuweza kuzisoma,basi baadaye kuzisoma nakuta yule Demu aliye ngeuka kwa mbwembwe zote ananiomba msamaha na kulia pia akidai kuwa unanipenda sijamjibu chochote till now je ni jibu gani nimpe
ngoni landNdo wanawake walivo hasa wa kanda ya kati huyo anatokea wap?????
asanteHuyo anatishia kujamba wakati anaharisha ,mpige za USO tu hapo hamna namna lubaaa huyo
Mkubalie ila mwambie ukimrudia utakuwa unamchezea tu hautomuoa maana wa kuoa kashapatikana.Kuna Girl mmoja nipo naye at least two years ,sasa kma wiki mbili akanigeukia kabisa kila jambo nikimwambia anasema no,tena akaniambia nitafute mwanamke wa kuoa ila yeye anitaki,Dah niliumia sana nikajiuliza kwanini ananifanyia ivi,aka ni block kila sehemu mbaya zaidi akanitukana,basi mm nikawa kma mgonjwa,tukakaa kama wiki mbili kuna msichana mtaa ni nilikuwa nampenda basi Nika mtongoza bila pingamizi mtoto akanielewa sana,Jana tukawa wote na mchumba mpya tukiwa kwenye mahaba mazito dah ghafla meseji zaidi ya kumi zinaingia kwenye simu,kwa kuwa nipo na mtoto mzuri mpya sikuweza kuzisoma,basi baadaye kuzisoma nakuta yule Demu aliye ngeuka kwa mbwembwe zote ananiomba msamaha na kulia pia akidai kuwa unanipenda sijamjibu chochote till now je ni jibu gani nimpe