Wadau kuna wanawake wengine wanajiona wao wazuri wao kila kitu na ukimuangalia huyo mdada hana hata shape wala sura yupo yupo tu lakini anavyojiona analeta pozi mpaka kwamadem wezake hii tabia kwakweli sio nzuri na wewe kamaunatabia kama hii bora uwache sababu binadamu wote sawa
mapovu meeeengi na wewe si uringe tu au huna swagga!!!??? tafuta mtaalam best.