Kuna huyu hapa, macho mazuri vibaya mno, hakika huyu hata akinikamata nitaenjoy sana.
View attachment 3667500
Kuna mmoja hivi nilimuona maeneo ya sarenda bridge, aisee, kadogodogo kafupi kiasi kana matege hivi, kanafanania na lulu Michael kipindi akiwa kwenye ubora wake, ila kenyewe kamezidi weupe, ilibaki kidogo nimpige mkono niombe namba ila alikua na njemba Moja polisi mwenzake NYEUSI kama mkaa, nikaogopa ataniamshia pira.
Kuna ma afande ni wazuri sana aisee sijui huku upolisini walifuata Nini