Kweli 7,800 ilipendezaUmeachana na mpenzi wako miaka 2,3,4,5 iliyopita.Na baada ya kuachana mnaamua kuendelea na maisha yenu kila mtu kivyake
Lakini jamani kuna muda huwa kuna ex fulani huwa anakuja automatically kwenye mawazo yako,sjui inakuwaje hapo
Na ukute ex wako ana familia yake, ila unakaa muda mwingine unamuwaza hadi unamuwaza na unatamani utafute picha yake kwenye social network umuangalie au umtumie sms tu moyo uridhike
Kama yupo mbali unatamani ujue maisha yake kwa sasa yakoje,unatamani umpate mtu wake wa karibu akuelezee maisha yake kwa sasa dah!
Ingawa muda huo upo kwenye mahusiano na mwingine ila kuna vitu unakuwa unamlinganisha na yule ex wako na sijui ni kwa nini inatokea hivyo
Na siyo ex wote ,no! Kuna ambaye ni very important ambaye unajikuta unammiss from no where!
Na mara nyingi ex huyu mnaweza mkapasha viporo mpaka uzeeni na mkapeana zawadi ya watoto kadhaa kwenye ndoa bila mwanaume wa ndoa kujua (Kitanda hakizai haramu)
NB ,Kama wewe ni mwanaume halafu huna ex ambaye anakuwza ujue wewe huna bahati ya mapenzi hapa duniani
Merry Christmas John
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mapenzi nayo ni bahati?Umeachana na mpenzi wako miaka 2,3,4,5 iliyopita.Na baada ya kuachana mnaamua kuendelea na maisha yenu kila mtu kivyake
Lakini jamani kuna muda huwa kuna ex fulani huwa anakuja automatically kwenye mawazo yako,sjui inakuwaje hapo
Na ukute ex wako ana familia yake, ila unakaa muda mwingine unamuwaza hadi unamuwaza na unatamani utafute picha yake kwenye social network umuangalie au umtumie sms tu moyo uridhike
Kama yupo mbali unatamani ujue maisha yake kwa sasa yakoje,unatamani umpate mtu wake wa karibu akuelezee maisha yake kwa sasa dah!
Ingawa muda huo upo kwenye mahusiano na mwingine ila kuna vitu unakuwa unamlinganisha na yule ex wako na sijui ni kwa nini inatokea hivyo
Na siyo ex wote ,no! Kuna ambaye ni very important ambaye unajikuta unammiss from no where!
Na mara nyingi ex huyu mnaweza mkapasha viporo mpaka uzeeni na mkapeana zawadi ya watoto kadhaa kwenye ndoa bila mwanaume wa ndoa kujua (Kitanda hakizai haramu)
NB ,Kama wewe ni mwanaume halafu huna ex ambaye anakuwza ujue wewe huna bahati ya mapenzi hapa duniani
Merry Christmas John
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni bikra? Unachokisema ndivyo inavyotakiwa, Ila kwa dunia ya sasa makosa yanafanyika. Kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa' wanawake wasiadhibiwe sababu ya kukosa bikra maana makosa yapo. Kuna makosa halafu kuna uhuni. Kama ilivyo Kuna Kunywa pombe halafu kuna ulevi,
Bikira zitoke wapi ndugu yangu,mtoto anamaliza la 7 Hana bikira,chance ya kupata msichana aliyemaliza form 6 mwenye bikira ni 1 kwa 1000.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inatokea kwa wanawake sijui kwa nini huwa hamzahau ma-x wenuUmeachana na mpenzi wako miaka 2,3,4,5 iliyopita.Na baada ya kuachana mnaamua kuendelea na maisha yenu kila mtu kivyake
Lakini jamani kuna muda huwa kuna ex fulani huwa anakuja automatically kwenye mawazo yako,sjui inakuwaje hapo
Na ukute ex wako ana familia yake, ila unakaa muda mwingine unamuwaza hadi unamuwaza na unatamani utafute picha yake kwenye social network umuangalie au umtumie sms tu moyo uridhike
Kama yupo mbali unatamani ujue maisha yake kwa sasa yakoje,unatamani umpate mtu wake wa karibu akuelezee maisha yake kwa sasa dah!
Ingawa muda huo upo kwenye mahusiano na mwingine ila kuna vitu unakuwa unamlinganisha na yule ex wako na sijui ni kwa nini inatokea hivyo
Na siyo ex wote ,no! Kuna ambaye ni very important ambaye unajikuta unammiss from no where!
Na mara nyingi ex huyu mnaweza mkapasha viporo mpaka uzeeni na mkapeana zawadi ya watoto kadhaa kwenye ndoa bila mwanaume wa ndoa kujua (Kitanda hakizai haramu)
NB ,Kama wewe ni mwanaume halafu huna ex ambaye anakuwza ujue wewe huna bahati ya mapenzi hapa duniani
Merry Christmas John
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe piaUmeachana na mpenzi wako miaka 2,3,4,5 iliyopita.Na baada ya kuachana mnaamua kuendelea na maisha yenu kila mtu kivyake
Lakini jamani kuna muda huwa kuna ex fulani huwa anakuja automatically kwenye mawazo yako,sjui inakuwaje hapo
Na ukute ex wako ana familia yake, ila unakaa muda mwingine unamuwaza hadi unamuwaza na unatamani utafute picha yake kwenye social network umuangalie au umtumie sms tu moyo uridhike
Kama yupo mbali unatamani ujue maisha yake kwa sasa yakoje,unatamani umpate mtu wake wa karibu akuelezee maisha yake kwa sasa dah!
Ingawa muda huo upo kwenye mahusiano na mwingine ila kuna vitu unakuwa unamlinganisha na yule ex wako na sijui ni kwa nini inatokea hivyo
Na siyo ex wote ,no! Kuna ambaye ni very important ambaye unajikuta unammiss from no where!
Na mara nyingi ex huyu mnaweza mkapasha viporo mpaka uzeeni na mkapeana zawadi ya watoto kadhaa kwenye ndoa bila mwanaume wa ndoa kujua (Kitanda hakizai haramu)
NB ,Kama wewe ni mwanaume halafu huna ex ambaye anakuwza ujue wewe huna bahati ya mapenzi hapa duniani
Merry Christmas John
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana tunatofautiana maana ya neno bikra. Ila kwangu mm bikra ni kitu kipya ambacho hakijawahi kutumika au kufunguliwa.Mimi ni nani niwaadhibu wanawake.
Mimi nawapa ushauri vijana ambao wanataka waishi maisha ya ndoa iliyokusudiwa yenye furaha.
Wale sikio la kufa waache kufuata ushauri huu.
Tokea lini mwanaume akawa na bikra?
Sijajua unaelimu ya lugha ama vipi. Ila mada ya bikra tulishajadili humu kuwa bikra ni nini? Hasa maana ya msingi ya neno hilo. Achana na maana matlaba.
Kuna mjumbe mmoja alisema kuoa bikra ni kujenga familia yenye uaminifu na uvumilivu wa maisha kwa 90%.Umeachana na mpenzi wako miaka 2,3,4,5 iliyopita.Na baada ya kuachana mnaamua kuendelea na maisha yenu kila mtu kivyake