Kuna ma-ex wengine ni kama wachawi

Nyie watu mmeshatoka kanisanijamani? Sisi tulokesha Jana kanisani tulitoka saa 7 .nendeni kusali ambao hamkwenda, sisi bado tumelala.
 
Usioe mwanamke asiye na bikra.

Sijui ni wapi sieleweki.

Vijana wa sasa hivi hata asome apate PHD bado hawezi elewa mantiki ya hoja yangu.


Nakazia; Kwa wale ambao sio sikio la kufa; Usioe Mwanamke asiye na bikra.

Kama umeoa inabidi uvumilie tuu.
 
Kesho naanza kujiita jon na mm

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Uhuni ni kuoa mwanamke asiye na bikra.
Uzinzi nao ndio hivyo hivyo. Ukioa Mwanamke asiye na bikra unatoa kizazi cha wazinzi. Wahuni wahuni tuu.

Hakuna jamii inayoheshimu bikra ukute hizo hadithi. Sijui Mtoto wa nje, sijiui Single mother, sijui upuuzi gani.

Mtoa mada anaongea jambo ambalo kwa wanawake ni 99% wapo hivyo.

Hiyo moja ni wachache sana.

Wanawake walioolewa na bikra 99% ndoa zao zina furaha. Hazitoi kizazi cha zinaa.
 
Kwa mabikira hawachepuki,tena wa hivyo wanaruka na mageti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni bikra? Unachokisema ndivyo inavyotakiwa, Ila kwa dunia ya sasa makosa yanafanyika. Kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa' wanawake wasiadhibiwe sababu ya kukosa bikra maana makosa yapo. Kuna makosa halafu kuna uhuni. Kama ilivyo Kuna Kunywa pombe halafu kuna ulevi,
 
Usioe mwanamke asiye na bikra.

Sijui ni wapi sieleweki.

Vijana wa sasa hivi hata asome apate PHD bado hawezi elewa mantiki ya hoja yangu.


Nakazia; Kwa wale ambao sio sikio la kufa; Usioe Mwanamke asiye na bikra.

Kama umeoa inabidi uvumilie tuu.
Bikira zitoke wapi ndugu yangu,mtoto anamaliza la 7 Hana bikira,chance ya kupata msichana aliyemaliza form 6 mwenye bikira ni 1 kwa 1000.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaa jana nimeuadabisha mwili na tamaa zake,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…