Sio mimi tu ndivyo ilivyo#kupeana zawadi ya watoto?
Duh!
Wanaume tuna maadui wengi sana. ... ndio maana tunakufa mapema.
Hasa ukabugi ukaoa cutelove
Sent using Jamii Forums mobile app
SanaYule baharia aliekuachia 7800 na sweta lako la Tanzania bado unamuwaza
Sent using Jamii Forums mobile app
#kupeana zawadi ya watoto?
Duh!
Wanaume tuna maadui wengi sana. ... ndio maana tunakufa mapema.
Hasa ukabugi ukaoa cutelove
Sent using Jamii Forums mobile app
MmmmhHii ni kawaida, ex- ni sawa alumni! Hakuna uchawi ni nature! So kuna alumni wa sec au chuo! Kadhalika alumni wa Nambarapi Guest house, Getho alumni, kimasihara alumni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiiii,jamani ,ni lifestyle lakiniUhuni ndo huu, uzinzi na ushetani. Hiki ndo kiwang cha uhuni ambacho hata mtu anapondoka katika huu ulimwengu wa mwili na nyama basi watoto wanarithi hizo tabia. Nao wanazaa na kuzalishwa hovyo hovyo na kuleta huo uongo na uchafu ndani ya familia zao na kwa waume zao, chain inaendelea. Kinakuwa kizazi cha wahuni, wazinzi na wabeba mimba kwa kujificha kwenye ukisasa wa kuitana my X.
Mwanaume unapobahatika kuoa mwanamke wa familia hii au uzao wake unakuwa na bahati mbaya sana maana umeoa muhuni au uzao wa wahuni. Utalea watoto wasio wako bila taarifa, na wanao watarithi tabia za mama yao.
Merry xmass kwa wahuni wote na wanaume waliooa wahuni, na binadamu wote.
Mambo ya kawaida tu kakaHuu ndo ujumbe ambao baada ya kukaa na kutafakari umeona unafaa kushirikisha wenzako siku ya Xmas?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaWanaosema inatakiwa kuoa mwanamke bikra kuna kitu walikiona, sio wa kuwapuuza sana
Sent using Jamii Forums mobile app