Kuna la ' Kujifunza ' lolote hapa?

Kuna la ' Kujifunza ' lolote hapa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,030
Reaction score
126,474
Ukali + Kushaurika + Utu = Uongozi bora?

Ukali + Ubishi + Kiburi + Ujeuri + Dharau + Ubabe + Kujisahau + Kulewa Sifa + Unafiki = Uongozi wa laana uliojawa na Ushetani wa Kutukuka?

Ukali kidogo + Hekima nyingi + Busara za Kutukuka + Usikivu + Kushaurika + Ukarimu = Uongozi unaompendeza hata Mwenyezi Mungu?

Nawasilisha.
 
The later is prefferable......be strict with love!!!
Humanless.....haikubariki ukiwa kiongozi pamoja na kwamba uzi wako unahitaji closed answers majibu yake yanaweza kuunda kitabu.Nataka nimalizie kwa kisema uongozi bora huanzia kwenye level ya familia,kama familia yako haiko stable unawezaje kujenga stability ya mamilion ya familia?je tuna strong and independent systems which would take deep vetting to our leaders?Much thanks!!
 
Ukali + Kushaurika + Utu = Uongozi bora?

Ukali + Ubishi + Kiburi + Ujeuri + Dharau + Ubabe + Kujisahau + Kulewa Sifa + Unafiki = Uongozi wa laana uliojawa na Ushetani wa Kutukuka?

Ukali kidogo + Hekima nyingi + Busara za Kutukuka + Usikivu + Kushaurika + Ukarimu = Uongozi unaompendeza hata Mwenyezi Mungu?

Nawasilisha.
Aya ya pili ni typical Yohane
 
Nyerere aliwahi kusema, " Mmeniita Musa nimekubali, mkaniita mchonga meno nimekubali, sasa mnaniita bwana haambiliki, nitamfunga mtu". Alikasirishwa kwa kupewa jina la bwana haambiliki. Sasa naona raisi anataka kulichukua jina lililokataliwa na mwalimu kwa sababu yeye hapangiwi.
 
Mkileta ushenzi yeye ni mshenzi zaidi
 
phrases presented justify everything.
It is daylight clear you wan't to provoke somebody while hiding yourself on the outermost black cloud.
That is nothing but cowardness of the highest degree.
Got me dude?

You're worthy a ' CERTIFIED INANE ' on this rostrum.
 
you run mad when someone seem to swim against your tide,and crown all those who support you no matter hypocritically.
This shows how immature you are in runing discussion.
Behold! you won't have me in your trap since i speak my mind and not cowtowing to someone.
 
Back
Top Bottom