Kuna kuolewa hapa kweli?

Unatangaza biashara

Sent using GunTrigger
 
Siku zote ulizofanya kazi ulikuwa huweki akiba? Kuanzia sasa jifunze kuweka akiba yako ya hela kwa sasa ingekusaidia kuliko kulala na mwanaume kwa sababu ya chakula tu hata kodi huyu mwanaume hakulipii, kingine hakupi hela ya matumizi? Angalau uwe unatunza, nina miaka 30+ sina haraka na ndoa ikija sawa isipokuja sawa ila najua ipo itakuja, hamna kitu kinaniuma kama kulala kwa mwanaume, siku zote nawaambia nakaa nyumbani kwa wazazi mtu anabaki kushangaa, mbona mkubwa hivyo majibu wazazi hawataki niondoke, kwa hiyo swala la kulala kwa mwanaume halipo, hata akikuoa huyu mwanaume utateseka maisha yako yote
 
Kwa muda muliokaa unaweza kimwambia chochote, wakati wowote, ila wewe unaogopa atakuacha ndio tatizo! Badili mtazamo Mdada kwani hata akikuoa bado mtaro utafukuliwa tu! Fanya maamuzi magumu kwa kumwambia unaenda kumshitaki kwa kukuahidi ndoa na yeye hakuoi, atakulipa fidia kwa kipindi cha miaka yote 3, kwani kiserikali huyo ni mumeo na unapaswa kumrithi akifariki. Zinduka Mdada, fanya maamuzi magumu juu ya maisha yako kabla haijawa too late.
Mwambie akupatie pesa uachane nae, pesa ya fidia na akigoma mdharirishe kwa kumshitaki kuwa kaharibu usichana wako na kamwe huwezi olewa tena kwa hali iliyonayo.
Sheria zipo, ila tatizo ni nyie wenyewe mnaogopa kuzitumia.... Ukicheka na nyani?..........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina akiba kidogo, kuna kazi nafukuzia pia sehemu. Nina sehemu yangu pia. Nina taaluma yangu pia. Sema ndoa ndio nilikuwa nafukuzia hapa. Nashukuru kwa ushauri
 
Kiswahili kinanisumbua anyways. You as a woman you set standards of how a man will treat you. What you allow is what will continue. Kama siku ya kwanza ulimpa ili kumfurahisha ndo uliaribu hapo. Sasa we endelea tu. Ikiwezekana akuoe kabisa.
Una elfu kumi apo ya karibu nikupige msasa kiswahil chako??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni bf tu sio mume, hiyo miaka mitatu kila mtu anakaa kwake mkuu. Hajawahi niahidi ndoa ila mi ndio nilikuwa naitafuta kwake.
 
Na hili ndio tatizo, toka mwanzo nilimkubalia na tuliendelea hivyo ila sasa sitaki tena, nikimwambia wala hanielewi kabisa, ugomvi sio wa kawaida yaani.
Ugomvi wenu mnakuwa mnaufanyia wapi.Fursa hiyo ufanyieni ukumbini watu tuingilie pesa.Coz najaribu kupata picha jamaa anapokuwa anagomba anakuwa anasemaje....hata mie ningekuwa mbaba ningegombana mwanzo unipe from no where unibanie.Anyway Mimi nashona marinda Kama utahitaji utanijuza nikitoka kujifukiza mipera nipasue virus vya Covid.
 
Reactions: amu
Nina akiba kidogo, kuna kazi nafukuzia pia sehemu. Nina sehemu yangu pia. Nina taaluma yangu pia. Sema ndoa ndio nilikuwa nafukuzia hapa. Nashukuru kwa ushauri
Tulia kwa sasa fikiria maisha yako, badirisha style ya maisha yako tumia robo ya unachokipata, ukiondoka hapo jifunze mwanaume usilale kwake wala kuhamia utachoka mapema
 
Unaetakiwa KUJIHESHIMU WEWE uliyeleta STAREHE ZAKO ZA CHUMBANI HAPA JUKWAANI...kama BOY WAKO HAKUTAFUNI VIZURI,,, nimekwambiya njoo PM TUYAJENGE,,,sasa KOSA LANGU NN?...Njoo PM kwangu Mimi FUNDI KIUNO..TUYAJENGE...wachana na HUYO anayekula JICHO KWA PAPARA....
Jiheshimu ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Wewe sio mnafki hakika
 
Ninajaribu kuwaza itokee asikuoe huyo mtu.

Baadae uje kuolewa na mwanaume mwingine kabisa aliyetulia, ambaye hiyo michezo haijui kabisa... The world is not fair!

Back to the point, golden rule ya maisha ni kuachana na kitu kibaya, chenye madhara au kisichofaa immediately unapokigundua.

Ndoa kama ipo, ipo tu. Jitunze, jithamini, jiheshimu. Achana na huo mchezo ni mbaya na ni dhambi. Mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…