Kuna kuolewa hapa kweli?

Asante pia
Hata mbingu yakushangaa ,,,,,,haikushangai kutoa mkun** bali yashangaa kuona hujatambua kuwa huyo hahitaji kabisa kuoa kwa 100%issue y matako wengi wenu huwa mnatupa kiroho safi n tukitaka kuwaacha mnabaki kukondeana ukiulizwa unakosa nn utasiia basi tu mi naumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapoteza muda wako kumshauri mtu anayetafuta soko hapa jf? Kiufupi maisha yamekuwa magumu baada ya shughuli nyingi za kiuchumi kusimamia,so huyu shoga anatafuta soko maana pesa mtaani haipo na watu wanashinda wamejifungia ndani
Kiswahili kinanisumbua anyways. You as a woman you set standards of how a man will treat you. What you allow is what will continue. Kama siku ya kwanza ulimpa ili kumfurahisha ndo uliaribu hapo. Sasa we endelea tu. Ikiwezekana akuoe kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] @Sky Eclat
Khantwe
Depal
Sakayo
Evelyn Salt
Mama rebeca
Joanah
 
Kama wewe ni Mwanamke nakuambia huyo Hawez kukuoa kabisa apo sahau anakutumia tu kwanza hamna mwanaume anae jielewa anaweza mfanyia mwanamke anae mpenda huo upuunzi na ushetani
[emoji23][emoji23] haki hili baba linavisa, siku nitahadithia humu, ila tu nimechoka kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…