Kuna kuolewa hapa kweli?

MKUU HUYO BF WAKO HAKUPATII VIZURI,,,,,njoo PM TUPANGE YETU....wachana nae,,,,,CHOO hakitaki PAPARA MKUU,,,,.hapa nilipo USHANITENGUA UDHU MKUU, ,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, usiikimbilie ndoa, kadri unavyoikimbilia na yenyewe inazidi kuongeza kasi. Tuliza akili sahau kuhusu ndoa sahau kuhusu mapenzi. Umesha jikwaa umeanguka Sasa nyanyuka na uanze Safari upya ila badili uelekeo kwa muda focus na vitu vingine nje ya mapenzi na ndoa.
Jipe muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 

ushauri mzuri...bint sikiliza dada zako hawa
 
Kwa mantiki hiyo huyu hanifai japo la kuwa na ndoa sidhani
labda pengne ni muda muafaka wa kumuweka kitako na mkajadili kuhusu hili,tena umuombe tu awe muwazi.usiogope kuzungumza nae sababu hili swala ni la maisha yako.
 
Shoga hili sema nini? Mods watafute namna ya kuwa screen mashoga wanatuchafulia jukwaa. Ndio maana covid inazidi kupaa.
Jishughulikie kwanza maisha yako ndugu, uweze kuwa sawa. Alikuambia mimi ni wa hivyo nani? Aisee pole sana
 
Umewahi muuliza mambo ya ndoa kasemaje.... Afu watu wa 40years bila kuoa.. Alafu hana sababu za msingi kama ugonjwaa, ndoa ya awali kuvunjika, au kufiwa na mke..... Huyo ujue chizi..... Hutafanya la maana.... Afu nyie wadada bana..... Wanaume ambao hawaeleweki ndio mnazimika kwao balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…