Kuna kitu hamkijui wanawake

Kuna kitu hamkijui wanawake

Kakuambia? May be anashinda anatafuta hela akirudi nyumbani hapati faraja labda anahisi kiu.... Nimewaza tu

umewaza mbali sikufika hulo ila nayo ni point sema jamaa hakumsoma vizuri na pia hajiamini either hata huo msaada ni huyo mwanamke kumu overstimate tu jamaa
 
mimi bila kunipa idadi ya wanawake uliokutana nao wenye tabia hii, sitakubaliana na wewe maana wengine tuko independent kuzidi hata nyie wanaume. Sio umekutana na huyu mwenye frustration za ndoa, maana ndio zao, halafu una conclude kua ni wanawake wote. Tutake radhi please, na usirudie tena. Wengine full kujiheshimu na independent sana tu. Mimi leo hii siwezi kutoka na wewe eti uninunulie beer au maji, excuse me... wengine tuna balance. kama umekutana na huyo muuza duka, sio wote wako hivyo.
 
Kiu si anamume? Asaliti ndoa kwasababu hii ndogo? Nadhani alikuwa na mental attitude mbaya ndio maana nilipomweleza aliamua kufanya kitu juu ya maisha yake. Sometimes wanawake mnatakiwa mkumbushwe sana mbakie kwenye mstari seriously.

Hivi wewe unadhani kiu ni sababu ndogo eti?? Kuwa na mume sio suluhu ya kumaliza kiu ati!! Suala la kurudi kwenye mstari mngeanza na nyie kwanza tungefika mbaaaaliii mnooo! Mmekuwa wa kulalama tuuu hata hamdeal na yenu, by the way nimejibu according to comment sijasoma uzi sory.
 
Bora tuwaoe tu ndicho kilichobaki.
 
Hawa watu balaa,kuna mwingine huku ana salary nzuri tu but ni tegemezi sn,nikimwambia wekeza ili usiishiwe haelewi.
 
Ahsante, ila we umejuaje kama shida yake ya ngono alikua anataka hela.....kama je ana kiu tu?

Rahisi sana kujua Evelyn Salt

Kakuambia? May be anashinda anatafuta hela akirudi nyumbani hapati faraja labda anahisi kiu.... Nimewaza tu

Kiu si anamume? Asaliti ndoa kwasababu hii ndogo? Nadhani alikuwa na mental attitude mbaya ndio maana nilipomweleza aliamua kufanya kitu juu ya maisha yake. Sometimes wanawake mnatakiwa mkumbushwe sana mbakie kwenye mstari seriously.

sema bhana wanaweka mnatakiwa kuwa creative acheni kuwa dependant
 
Back
Top Bottom