King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
Itume tena mkuu,Habari zenu wakuu.
Kuna kitu nahisi hakiko sawa kwenye kampuni ya Dangote.
Hebu pitieni hiyo document iliyopo hapo chini.View attachment 1994957
Ndio ninakoelekea huko, Ngoja nikipigwa ntaleta mrejeshoHakipo sawa kwenye kampuni ya dangote au tangazo? Ukipigwa let mrejesho.
Ndio ninakoelekea huko, Ngoja nikipigwa ntaleta mrejesho
Wajinga ndio waliwaokwan hata redio hamskilz washarpot kua tangazo hil n fek
Kampuni yenyewe ilishatangaza kuwa tangazo ni fake sasa wewe unaendelea na hatua ya pili kujua wanataka kufanyaje hao matapeli au?Habari zenu wakuu.
Kuna kitu nahisi hakiko sawa kwenye kampuni ya Dangote.
Hebu pitieni hiyo document iliyopo hapo chini.View attachment 1994957
View attachment 1995008