Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Namna nzuri yakutatua Tatizo kwenye chama ni vikao halali rejea katiba

Kwa hio unawataka watu woooote JF ,Twitter,Facebook,watsap na kwingineko wasikosoe waje kwenye vikao?

Are you sane?
 
Magamba bhana mnajitia dole then mnanusa mnabinua pua kama mbuzi,Mwenyekiti ni powerful na atawavua vyupi mwaka huu.
 
Wanachadema kindakindaki wanaona na kuusema udhaifu wa mwenyekiti wa BAVICHA taifa.
Mficha maradhi mauti humuumbua.
Tena makamu wake ole Sosopi is better by far!
Patrobas anatakiwa kupisha au apigiwe kura ya kutokuwa na imani.
Mwenyekiti wa BAVICHA taifa ni msemaji wa umoja kitaifa.Pamoja na matukio yooote jamaa haonekani.
Hata kama anafanya kazi chini kwa chini,mbona ole Sosopi tunamwona?
NB;Sijui kama ana ujasiri wa kuhost international meetings kama Heche!
 
Magamba bhana mnajitia dole then mnanusa mnabinua pua kama mbuzi,Mwenyekiti ni powerful na atawavua vyupi mwaka huu.

Jamani hakuna mtu kasema mwenyekiti hafai,someni mwelewe sote tunaipenda bavicha,tusijifiche kwenyekivuli cha ccm.
 

Naunga mkono HOJA. Bado sijaiona makeke ya Mwenyekiti wetu BAVICHA Taifa
 
kuna namna yauwasilishaji wa tarifa kwa chama soma katiba

Unadhani watu woooote huko JF ,Twitter,Facebook,watsap ni wanachama wa chadema...hivyo wafuate katiba ya chadema.

Gentleman....Ni busara kujifunza kukosolewa in Public ...Hio pia ni democracy....Unaficha nini ambacho hutaki watu wakikosoe in public
 
Subiri kwanza tumuondoe ccm
 
Kama kweli wewe ni mwanachadema piga kazi mafanikio yataonekana, kama unasubiria viongozi wa kitaifa ndio waje kwenye maeneo yako waeneze chama ......kama wewe ni kiongozi wa Msingi au ngazi yoyote hautufai, kuwa tuu mwanachama wa kawaida. Hata mwanachama wa kawaida anatakiwa aeneze chama kwa eneo alilopo.

Ukisoma kadi ya Chadema kwa nyuma...Wajibu wa Mwanachama namba 3. (imetolewa kwenye katiba ya chadema) Imeeleza kwamba "Kutetea na kueneza itikadi, falsafa na Madhumuni ya chama ndani ya jamii anamoishi"
 
Katiba inasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…