Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,455
NAOMBA NIWEKE WAZI KUWA SIWEKI POSTI HII ILI KUVURUGA UMOJA HUU,WALA SINA NIA YA KUFARAKANISHA VIONGOZI,NIA YANGU NI KUANZISHA MJADALA MPANA ILI KUUSAIDIA UMOJA WETU UENDANE KASI INAYO TAKIWA.

Baraza la vijana wa chadema kwa sasa linaonekana limefubaa,ni thahiri uongozi uliopo unashindwa kubuni mambo,hauna kasi iliyokuwepo hapo awali alipokuwepo Mh,Heche, uongozi ni kama unafanya mambo kwa kushuliwa na baadae una lala tena.niwazi mwenyekiti wetu amzidiwa mbinu au hana mbinu za kuchangamsha baraza.

Wana bavicha niwazi sasa tunahitaji mbinu mbadala,au plan B, baraza linahitajika kuamka na uongozi ukubali kuanzisha kikosi kazi maalum kitakachokuwa ndani ya bavicha kwaajili ya kazi hiyo,mwenyekiti abaki ofisini kusimamia harakati hizo kwasababu hata kwenye operesheni alizoshiriki ameonyesha kutomudu mikiki mikiki na badalayake amakuwa akimezwa na waliomzunguka na kutoonekana kabisa,amekuwa kama anauoga flani.

Tunahitaji kikosi kitakacho changamsha baraza letu hata ikiwezekana waliogombea nafasi ya mwenyekiti na kushindwa basi,wapewe uwanja maalum wa kuendesha siasa ndani ya bavicha ili baraza lichangamke na kurudisha msisimko uliokuwepo awali.

kwamuda ambao mwenyikiti amekuwepo umetosha kumpima na kujua ni mtu wa aina gani,uwezowake jukwaani tumesha ufahamu,huvyo hatupaswi kuendelea kupoteza muda wakati uchaguzi unakaribua.

NI WAKATI WA KUCHUKUA HATUA SASA KWA USTAWI WA UMOJA WETU
 
Kwanini Mpwa haya mambo tusingeyazungumzia kule kule kwetu? Nadhani tuna njia sahihi sana ya kuwekana sawa. Ni jambo jema unayosema lakini pia hapa ujumbe hautafika vyema kama ungezungumzia kule kule au hata kwenye Chadema ni Msingi...... Ni wazo tu
 
CCM wamejipanga kimkakati kumshambulia M/kiti wa Bavicha. Naona wameanza kumwogopa, sasa ni mwendo wa kuanzisha thread! Poleni sana maana hata hili nalo mtashindwa!
 
CCM wamejipanga kimkakati kumshambulia M/kiti wa Bavicha. Naona wameanza kumwogopa, sasa ni mwendo wa kuanzisha thread! Poleni sana maana hata hili nalo mtashindwa!

Kamanda wangu nashukuru kwa kuliona hilo lakini kwakua sisi tunajua utendaji wao wakazi ulivyo mzuri watalamba chini giza haliwezi kuishinda Nuru hata siku moja
 
Mwenyekiti Bavicha anawatia viwewe vibaraka Wa CCM...
 
Reactions: BAK
CCM wamejipanga kimkakati kumshambulia M/kiti wa Bavicha. Naona wameanza kumwogopa, sasa ni mwendo wa kuanzisha thread! Poleni sana maana hata hili nalo mtashindwa!

Mkuu si kila anaeweka post hapa ni ccm na haina maana kupokea sifa au kupenda.kusikia kile unachokitaka tu, ni busara kama unapenda kusifiwa basi upende na kukosolewa, chadema.haiwezi kupotezwa na post za jf bali inaweza kujirekebisha,
 
CCM wamejipanga kimkakati kumshambulia M/kiti wa Bavicha. Naona wameanza kumwogopa, sasa ni mwendo wa kuanzisha thread! Poleni sana maana hata hili nalo mtashindwa!

Mshaanza style yenu ya kudhani kila anayekosoa ni CCM ...Acheni upuuzi...Patrobas is asleeep...tena usingizi wa Pono...Kazi aliyoiomba imemzidi uwezo
 
Mkuu si kila anaeweka post hapa ni ccm na haina maana kupokea sifa au kupenda.kusikia kile unachokitaka tu, ni busara kama unapenda kusifiwa basi upende na kukosolewa, chadema.haiwezi kupotezwa na post za jf bali inaweza kujirekebisha,

Hawa jamaa wenye mtazamo huu ni tatizo....Tunaipenda CHADEMA....huku mitandaoni pia tunaweza kukosoana
 
Mkuu si kila anaeweka post hapa ni ccm na haina maana kupokea sifa au kupenda.kusikia kile unachokitaka tu, ni busara kama unapenda kusifiwa basi upende na kukosolewa, chadema.haiwezi kupotezwa na post za jf bali inaweza kujirekebisha,

Kwa akili yako hata ndio sehemu yakuwakilisha malalamiko yako? Shirikisha ubongo ungetu pm ujumbe wako ungefika na mrejesho tungekuletea au ungeona
 
Kwa akili yako hata ndio sehemu yakuwakilisha malalamiko yako? Shirikisha ubongo ungetu pm ujumbe wako ungefika na mrejesho tungekuletea au ungeona

Haisaidii kuficha ugonjwa,tunahitaji mawazo ya wengi.
 
Chama Cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA chini ya majemedari wawili Mbowe na Dr Slaa hakika katika siasa za Mageuzi hamtasaulika kamwe, na hakuna wakufananishwa nanyi kwa fikira zangu. CHADEMA tumeona matunda yenu ni mengi kwa Taifa letu kwa hilo nawapongeza kwa dhati ya moyo wangu, mwaka jana kila mtu anajua kuwa CONGRESS ilikuwa ya mfano katika siasa zetu za upinzani you did fantastic. Nije katika kile nilichopenda kushare nanyi kwa muono wangu juu ya Uchaguzi wa BAVICHA ambapo M/Kiti wake ni Pastrobas Katambi ni kijana msomi na muhimu kati chama ila nafasi ya kuwa Rais wa BAVICHA ameshindwa kuitendea haki hang,ati wala haumi hakika Baraza limepoa sana. Sababu ya kumchagua ni za kikabila na kikanda mlisikiliza propoganda na kweli zimewatosa kuwa chama kina element za ukanda na ukabila mkaamua kuacha vijana wenye maono mkamchagua mtu kwa kuogopa kadhia hiyo. Mfano mswada wa Mnyika wa Baraza la vijana hakuna tena lakini ulikuwa wajibu wa BAVICHA kupiga kelele na vijana wote wakajua kuhusu hilo. THANKS
 
Naunga mkono hoja ndg. Patroba hana vuguvugu za kimageuzi, amezubaa am sorry to say so
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…