Kuna kipindi natamani kuwatetea lakini?

Kuna kipindi natamani kuwatetea lakini?

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
645
Reaction score
1,549
Kuna mengi yanaendelea sana katika nchi hii, kuna kipindi natamani nitoke niwatetee CCM lakini kuna sauti inaniiambia kabla ujafanya hivyo kwanza jiulize kuhusu hivi vitu

Diwani Haji manara

Diwani, Dogo njanja,

Mayor Sheta

BUngeni, Baba Levo

Bungeni, Babu Tale

Bungeni Msukuma

Na kubwa lao pale juu ndio sitaki kabisa kumtaja

Kwa ufupi kama nchi tuna safari ndefu sana
 
Back
Top Bottom