Unaizoea mpaka misiba mingine ukipewa taarifa unasema, AFADHALI.Una pata misiba mizito katika familia na ukoo mpaka kichwa kinawaka moto.Inafikia mahali ukisikia mtu kafa unaagiza castle unashusha pumzi na fegi mdomoni.
Daaa! mida hii amefariki fundi wangu wa nyumba alikuwa zaidi ya fundi kafa ghafla Kwa ajali ya pikipiki
Pole kwa kufelewa na fundi wako!Una pata misiba mizito katika familia na ukoo mpaka kichwa kinawaka moto.Inafikia mahali ukisikia mtu kafa unaagiza castle unashusha pumzi na fegi mdomoni.
Daaa! mida hii amefariki fundi wangu wa nyumba alikuwa zaidi ya fundi kafa ghafla Kwa ajali ya pikipiki
"AFADHARI?" Labda Maccm.Unaizoea mpaka misiba mingine ukipewa taarifa unasema, AFADHARI.
Mbona unaongea kama una GOGO limechomekwa kwenye ule uwazi wa inapokutana miguu yako?? Tulia kijana. Smile hata kama inauma."AFADHARI?" Labda Maccm.
Kuna jamaa hapa kanizibia fursa, afu anaumwaaa Balaa. Yani naomba afee mambo yanyookee.Unaizoea mpaka misiba mingine ukipewa taarifa unasema, AFADHALI.
Hahahhaaaaa haaahhahaaaaa nani mkuu kiziba riziki?Kuna jamaa hapa kanizibia fursa, afu anaumwaaa Balaa. Yani naomba afee mambo yanyookee.
Hahahaha
simdai kaka, sema ananiziibia mambo yangu.Vp unamdai nini ulimkopesha?