Kuna kiongozi wa Tanzania sifa zake na kutaka kuonekana kuwa hashindwi kitu leo anaenda kuumbuka nchini Misri

Mungu ibarika harambee stars Mungu ibariki Kenya
Ukitaka uzalendo nenda ACT
 
Ninachojua leo Taifa Stars inafungwa Goli la Nguruwe ( Moja ) tu na atakayetufunga ni Victor Wanyama.
Ondoa Makonda toka kwenye Kamati ya Uhamasishaji na hapo ndo Taifa Stars itaanza kushinda mashindano ya KImataifa. Eti Taifa Stars ni timu ya CCM! Unadhani kama kuna mchezaji ambaye si CCM atajisikiaje? Huyo dogo hafai kabisa!
 
Leo mida ya Saa 5 Usiku hadi Saa 6 na dakika 55 kuna Kiongozi Mmoja wa Tanzania ambaye ni Mpenda Sifa na hupenda Kuonekana kuwa hashindiwi Kitu hasa Mipango yake na ndiyo Mdanganyifu Namba Moja kwa Rais wetu anaenda Kuumbuka nchini Misri na ndipo atajua kuwa kuna Mambo mengine ni ya Kiufundi zaidi na siyo Siasa hasa zile zake za Kujipendekeza.

Natanguliza Shukran zangu za dhati kabisa kwa Wakenya hasa kwa Wanyama na Oliech.
Huyu jamaa huyu, anacheza na mwana wa mfalme
 
its the other way round, leo tutashuhudia uwepo wa Mungu wa kweli kwa wapakwa mafuta wake.

Huyu mtu ni mtu wa Mungu.

P
 
Ondoa Makonda toka kwenye Kamati ya Uhamasishaji na hapo ndo Taifa Stars itaanza kushinda mashindano ya KImataifa. Eti Taifa Stars ni timu ya CCM! Unadhani kama kuna mchezaji ambaye si CCM atajisikiaje? Huyo dogo hafai kabisa!
Y
Na anaumbuka kweli umisema mechi dhaifu sio sawa maana aibu inaenda kutokea hata kama kazoea fitina lkn huku anateleza leo
[/QUOTE
Yaani nimefurahi kweli kwa kichapo. Tunaipenda sana Taifa Stars. Lakini kama wanataka kuifanya iwe kitengo cha CCM hatutaiunga kamwe, kama ambavyo Jana hatukuiunga na Mola akasikia dua zetu!
 
Back
Top Bottom