Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,673
- 149,860
Tumewahi kusikia viongozi mbalimbali duniani wakikataa kufanyiwa mambo ya kutukuzwa na wengine hata kukataa kulipwa mishahara mikubwa ya anasa ili tu wajaribu kuishi kama raia wengine wa kawaida.
Lakini kuna hili la viongozi kutandikiwa zulia jekendu(red carpet) kuanzia kwenye ngazi za ndege,wakati wa kula kiapo,kuapisha,wanapopanda majukwaani,n.k.
Tunatetea na kunasema hili ni jambo la kawaida na lililozoeleka na ni heshima pia kwa viongozi kwahiyo ni sahihi tu ingawa mimi binafsi huwa naona ni moja ya mambo yanayowafanya baadhi ya watawala kujiona wao ni kama miungu watu au wao ni very special(kulewa madaraka).
Binafsi ningekuwa kiongozi ningekataa kabisa huu utamadani ndani ya nchi yangu labda tu pale napopokea wageni wa kimataifa au kutoka nje ya nchi ambako inaweza kuwa vigumu kukwepa jambo hili.
Swali langu ni je,katika viongozi ambao wameshawi kuonyesha "humility" hapa duniani kwa kauli na matendo yao,kuna kiongozi hata mmoja aliewahi kukataa kutandikiwa zulia hili?
Kwa mfano,unakataa kuitwa mtukufu /kutukuzwa alafu wakati huo huo unakubali kutembea kwenye zulia jekendu la gharama kubwa tu sasa hapo sijui unakataa nini na unafanya nini!