kuna kila sababu ya bunge kuwa live ..pale watakapokuwa wakijadili mikataba ya madini.

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
431
310
Ripoti zote zimesomwa live..na bunge lipewe nafasi kujadili hiyo mikataba live.... ili watanzania tujuwe...ni nini kilichomo ndani ya hiyo mikataba.

kuwajua wanafiki na wazalendo wa nchi hii.
 
Wale wale walipitisha sheria hizo kwa ndiooooo, hao hao ndo leo wameshikwa na uchungu kusikia tunaibiwa.. Nasubiri kuona kina lusinde wanavyojadili hizo sheria
 
Back
Top Bottom