maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,536
- 1,360
We jamaa ubongo wako umesinyaa!Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!
You are very rightHuyu mzee alijiunga CHADEMA akidhani wako serious. Ukumbuke kuwa huyu mzee ni miongoni mwa wabunge wa CCM ambao walikuwa wakiupinga ufisadi kwa nguvu zote. Aliamini anakwenda CHADEMA kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi. Kwa bahati mbaya kwake haikuchukua muda mrefu mara baada ya yeye kujiunga CHADEMA mzee Lowassa naye akajiunga na CHADEMA. Sasa agenda ya ufisadi ikafa kifo cha mende. Sasa abaki CHADEMA kufanya nini? Hakuna tofauti kati ya Lembeni na Mpendazoe. Sio watu wa kubaki CHADEMA ambayo agenda iliyowaweka kwenye ramani wameitema kwa sababu ya kumkabidhi chama mtu asiyeipenda hiyo agenda.
Ndio maana wanahangaika na operations, maana hali mbaya, kila siku wanazindua, mara ukuta, sasa wanataka kupiga watu mitama, eeee ndio maana ya kata funua, ukilemaa umevuliwa sketi.CDM iligeuka jiwe siku walipousaliti msimamo uliowapa sifa na wafuasi. Haitarudi kwenye mstari hadi viongozi waliobadili gia angani wawapishe wengine wataokuwa na moral authority ya kuanza kupinga ufisadi na kupigania demokrasia tena.
Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!
Swissme... ......kwani kuna ajabu.
swissme
Kwanini mnapenda kutumia neno "ufisadi" hata mahali lisipohitajika? Lembeli na Lowassa nani alitangulia Chadema? Btw hebu tuonyeshe mpinga ufisadi mmoja tu ili tukuelewe, ila usijitaje wewe maana hujapata fursa ya kula!Huyu mzee alijiunga CHADEMA akidhani wako serious. Ukumbuke kuwa huyu mzee ni miongoni mwa wabunge wa CCM ambao walikuwa wakiupinga ufisadi kwa nguvu zote. Aliamini anakwenda CHADEMA kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi. Kwa bahati mbaya kwake haikuchukua muda mrefu mara baada ya yeye kujiunga CHADEMA mzee Lowassa naye akajiunga na CHADEMA. Sasa agenda ya ufisadi ikafa kifo cha mende. Sasa abaki CHADEMA kufanya nini? Hakuna tofauti kati ya Lembeni na Mpendazoe. Sio watu wa kubaki CHADEMA ambayo agenda iliyowaweka kwenye ramani wameitema kwa sababu ya kumkabidhi chama mtu asiyeipenda hiyo agenda.
Ww akiri zako unazitumiaje katika kijenganchi??Mazezeta ya Lumumba yakisha vimbiwa ubwabwa wa kwenye hitima basi wanacheua ovyo tu hapa jamvini.
Umejibu kikakamavu mpaka nimefurahi.Acha utahira ww ..Lowassa na Lembeli nani katangulia kujiunga na chadema ...wadanganye mapimbi wenzio wa lumumba ...kama anarudi ccm kipi cha ajabu?? Tuko imara kuliko chama chako chakavu ambacho kinapumlia mipira ya polisi ...chadema hata aondoke nani hatuwezi kuyumba ..sisi ni raia wakakamavu ..hutuwezi kuyumbishwa na upepo...achana na propaganda uchwara fisiem ww
Mbona hujaonesha hizo dalili??Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!
Hana mvuto wa kisiasa tena si alishindwa ubunge?Acha Ndoto za Mchana.
Haiwezekani utoke Chelsea Fc halafu ukacheze Mbao Fc kwa mkopo.Baada ya Lembeli kurudi, atakayefuatia ni Mashinji!
Ngoja niwatonye uhamiaji waje wahakiki uraia wako.Ww akiri zako unazitumiaje katika kijenganchi??
haha..tulieni DJ achangaje CD.Pumbafu,kwani chadema inawahusu nini?SI mnasema ni ya Kaskazini,sijui nini nani, kamasi litawatoka.Mtauza mbinu yenu na nchi yenu.Mlivyoamua jidanganya mtadanganyaika ila si watanzania.Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!