Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,428
- 13,430
Kwa kuhofia viongozi waandamizi wa CCM kupelekwa mahakamani kwa kuvunja katiba ya Zanzibar na kufanya mapinduzi ya kisiasa baada ya uchaguzi mkuu wa 2015, hakuna namna vyama vya upinzani kuchukua dola Zanzibar!
Suluhu ni kuwa na tume huru ya uchaguzi na pia katiba mpya ya muungano ambayo itakuwa na turufu juu ya katiba ya Zanzibar!
Vinginevyo tusipoziba ufa tutajenga ukuta!
Suluhu ni kuwa na tume huru ya uchaguzi na pia katiba mpya ya muungano ambayo itakuwa na turufu juu ya katiba ya Zanzibar!
Vinginevyo tusipoziba ufa tutajenga ukuta!