Kuna kazi za postcode huko manispaa zinatoka kimya kimya 'pattern.'

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,090
Reaction score
4,060
Napata taarifa kuna vikazi huko kwenye kata na manispaa kwa ajili ya kusajili makazi .ila hizi zinatoka kimya kimya mno walio kwenye magrupu yale ya sensa na postcode wanalijua hili.Na wameshaanza kuitwa semina jumamosi.
 
SALAAAAM FAMILIA. TUNA ZOEZI LA UHAKIKI WA TAARIFA ZA ANUANI ZA MAKAZI NDANI YA JIJI LA TANGA.
ZOEZI LITAANZA KWA SEMINA YA SIKU 1 SIKU YA IJUMAA SAA 2 ASUBUHI PALE TANGA SCHOOL KISHA TUTAINGIA SAITI KWA SIKU 14.
MALIPO YA ZOEZI NI Tsh. 30,000/= KWA SIKU KATIKA MCHANGANUO WA 20,000/= POSHO 5,000/= NAULI NA 5,000/= BANDO. UTAPASWA KUINGIZA ANUANI ZISIZOPUNGUA HAMSINI KWA SIKU.
KILA MSHIRIKI ANAPASWA KUWA NA SMART PHONE YENYE ANDROID KUANZIA VERSION 8, NA AWE NA AKAUNTI YA BENK YA KUPITISHIA MALIPO YAKE. AWE NA PASSPOET SIZE KWA AJILI YA KITAMBULISHO.
KILA MSHIRIKI ATAFANYA KAZI KTK MTAA ANAOISHI.

KWA WALE WALIO TAYARI KUSHIRIKI PAMOJA NASI ZOEZI HILI NAOMBA TUWASILIANE KUANZIA SAA 9 MCHANA.(ZINGATIA MUDA WA KUANZA KUWASILIANA)
WALE WENZETU TUNAOWAJUA WALISHIRIKI SENSA LAKINI HAWAMO HUKU WANARUHUSIWA KUOMBA KUSHIRIKI NASI PIA. TUNAWEZA WAPA TAARIFA. AHSANTE I


kwa tanga meseji hii ilizunguka sana jana na majina yashatoka
 
Hii nchi ni kubwa sana na ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…