Kuna kaukweli hapa?

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,792
9,087
Hivi ni kweli kwa wale wanachama wa CHAPUTA kua hawawezi kusimama kwa mguu mmoja ndn ya dkk 3? Napenda kujua tu kama ni kwa wote au mtu mmoja mmoja
 
Mmmh!!

Ebu kwanza nijaribu kusimama kwa mguu mmoja kwa dakika tatu kama nitashindwa maana na mimi ni mwanachama wa CHAPUTA

Tena ni katibu mwenezi wa chama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom