Mandison
Senior Member
- Mar 10, 2017
- 191
- 116
Habari wana JF. Naomba kuuliza kama zipo KAMPUNI za bima zinazotoa bima ktk sekta ya kilimo hasa bima ya mazao. Kama zipo, package zao zinakinga Risks zipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
