A
Anonymous
Guest
Kwa madereva kwani wamekuwa wakikamata kwa uonevu unakuta dereva kaegesha sehemu ambayo muhusika wa ku-scan anaku-scan ila wao wakipita wanakukamata wakati ushascaniwa. Na pia wanakuta dereva amepark gari kwa dharura kawasha double hazard bado wanakukamata.
Pia wakikukamata wakikupeleka ofisini kwao wanakupa form yenye maelezo ya kulipa faini isiyokuwa na control number ukiwaambia wakupe control number wanakuzungusha wakitaka ulipe pesa cash .
Na pia tunaomba Serikali iingilie kati kiwango cha faini wanayotoza kulingana na aina ya kosa lenyewe kwani faini inayosomeka kwenye form yao ni Tsh 80,000.
Majibu ya Manispaa ya Ubungo haya hapa ~ Manispaa ya Ubungo: Faini ya wrong parking ni Tsh. 80,000, ukikutwa na kosa hautaruhusiwa kuondola hadi ulipe