Kuna janga la stress (msongo)

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
775
Reaction score
2,824
Wanahisi wamekuwa neglected katika jamii inayowazunguka ambayo imekataa ku-prioritize afya ya akili.

Sasa ndani ya JF with hidden identity anaona ndio pahala sahihi pa ku-shout outšŸ—£šŸ—£makunyazi yake, sio kwamba apunguze stress ila bila kujua ana jihukumu kwa namna alivyo kwa kuyasema mambo mazito ili wewe ujisikie vibaya

Ndio maana utakuta mtu ni matusi, ugomvi na reaction zisizokuwa na kichwa wala mguu, sio kwamba ni mjinga au makusudi bali ni depression.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20260529_135856_Instagram.jpg
    133.3 KB · Views: 9
Sawa
Ipo kwenye ilani ya Chaumma, watu wote wenye stress watakuwa wanapewa pipi ili kupunguza maumivu kila Ijumaa baada ya swala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…