Kuna hujuma kwenye pantoni

Kuna hujuma kwenye pantoni

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,419
Naweza kusema ni hujuma au kutokua na mkakati maalum wa utendaji kazi, unakuta mistari ya magari ni mitatu, namaanisha kuna mstari wa kwanza, wa pili na watatu.

Ukifika unaweza kuingia mstari wowote lakini cha ajabu unakuta afande wa suma jkt, anaongea na dreva wa mbele yako, kinachotokea magari ya mbele yako yanaruhusiwa na wewe unabaki.

Cha ajabu zaidi mstari mwingine unaruhusiwa wote, pasipo kufata kawakuta wenzie yaani ata aliecherewa anakupita, inakera tena sana na sana, unarusuje mstari wenye magari 15 mzima alaf mistari mingne unaruhusu magari mawili kama hakuna kitu hapa kuna nini
 
ao suma...wana stress jamani...ukiingia ofisi yoyote ukakutana nao kuwa mpole tu...lazima watakuvuruga...stress sio kitu kizuri
 
ao suma...wana stress jamani...ukiingia ofisi yoyote ukakutana nao kuwa mpole tu...lazima watakuvuruga...stress sio kitu kizuri
Sasa uongozi wao kwanini unaruhusu kuweka watu wenye stress kazini.?

Na huu upuuzi wanaufanya wale wa kule upande wa Magogoni.
 
Sasa uongozi wao kwanini unaruhusu kuweka watu wenye stress kazini.?

Na huu upuuzi wanaufanya wale wa kule upande wa Magogoni.
acha kabisa, wanafanya kazi zigzag, unakuta umekaa pale saa zima, ila mtu anakuja nyuma yako anaingia, inauma sana
 
Back
Top Bottom