Kuna hizi nafasi za kazi Dubai wakuu. Je, ni za kweli?

Kuna jamaa waliniandikia kuhitaji Visa ya Australia. Wakatuma kama email 3 hivi kutaka namba ya simu. Siku paap simu ya nje. Akaniambia uliomba Visa ya Australia nikasema ndio. Akauliza kama nina credit card utume pesa, nikasema sina. Akakata simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu JF bwana kumeathiriwa na Ujuaji mwingi, yani mtu anajikuta anajua too much mpaka anataka kuwadirect wengine nini cha kufanya.

Mara oooh kuna flani alipigwa! Sasa ni sawa na mtu anataka kusafiri unamwambia usipande basi tafuta usafiri mwingine kwa sababu juzi kuna basi lilipata ajali!

Mi bora niwe mwanafunzi siku zote, sitachoka kujifunza pamoja na uzee huu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo hata mimi washanitumia sana ,napotezeaga sana coz sijawahi kuomba kazi dubai iweje niambiwe nimepata bila kuomba ,hapo kuna mawili kupelekwa kufanyishwa kazi za kitumwa km ww ni mwanamke utafanywa kahaba hela wanachukua wao,km ni wakiume utaenda ufumuliwe linda na hela wachukue wao au ufanyishwe kazi viwandani au majumbani malipo kiduchu ubaya sasa ni kuwa ukifika kule unanyang'anywa passport so huwezi kutoroka kwenda popote.
Tuwe makini wengi ni matapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ama kwa hakika umenena ipasavyo kabisa, mioyo inatofautiana kuna wenye mioyo Yaa kiume na kuna wenye mioyo ya kike yaani mioyo laini na teketeke kabisa.

Hao wawili hawawezi kuwa sawa hata kidogo kiujasiri mkuu...!
 

Yaani ulikuwa umeelekezwa kuchinjwa kabisa

Hawa jamaa wapo wengi sana na mimi wametuma sana
Kwa huku mpaka landlines za watu wanazo na wana kupiga
Nilipigiwa na jamaa tapeli toka Spain akaniambia nimeshinda bahati nasibu hela ndefu sana
Nikamuacha aongee sana mpaka akaniambia tuma details zako za credit card hapo ndio nikamwambia uko sehemu gani akaniambia Barcelona
Nikamwambia nipe anuani kuna jamaa yangu yuko hapo ataziijia
Akakata na Simu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huyo jamaa aliyetuma mil 2 ni kiazi.
 
Uko sahihi...kuna jamaa mmoja nilikuwa namwambia taperi hajaweza kubuni njia mbadala ya kusema nitumie/toa/tuma pesa lazima afike stage hiyo tu ya mwisho sasa siuna muacha tu.

Muda mwingine utakosa mtu fursa kisa hizi kauri za kizembe wewe click kwani uki click tu wanauwezo wa Lucília pesa kwenye account tiali.

NB: hakuna asiye kuwa aware na utaperi kwa sasa especially kwa mwana jf mkomavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

😂😂😂😂😂
 

Kabisa kiongozi tapeli hawezi kuja kukuchomolea pesa kwenye wallet yako, kuna hatua za kufuata mpaka mwisho atakwambia masuala ya pesa, ukiona imefika hatua hiyo si basi unaachana nae.

Lakini mtu anatoka huko alipotoka anaanza kuongea tu matapeli hao wakati hata hiyo website utakuta hajaifungua.

Watu wana-penda sana kufikiri kwa kutumia makalio mkuu.

Ni hatari sana aisee...!
 

Wabongo bado sana kiongozi tatizo ujuaji mwingi kila mtu anajifanya mjuaji kiongozi...!
 
Teh. Usije tu kusema hukuambiwa bwana 'mzee'.
 
Sasa huyo wa kutuma nauli si alipigwa kizembe kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hujaambiwa utume pesa ww kama uba CV yako watumie uendelee kueaskilizia ila hakikisha kweny Cv yako unamention your passport number and your visa status

Wakiona cv yako inamatch watakuita tu utajaza mkataba na copy of your passport

Kabla ya kuomba hakikisha una afya nzuri pima Hiv 1/2,hepatitis,TB,lepros and general body check up?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm nashangaa watu wanavyokurupuka kila mtu kubwabwaja yake bila kusoma instructions zinasemaje.
Ile email ni ya matangazo tu ya kazi.
Hakuna mahali waliposema ameshapata kazi.
Ni hiari yake kuomba nafasi ya kazi inayompendeza na sio lazima,Sasa hapo utapeli unatoka wapi hali ya kuwa hata hizo nafasi bado hajaapply.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni ujinga ujinga tu mkuu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…