Kuna Hii Battle Ya ZUCHU vs TEMS

Bora kushabikia mambo ya nje kuliko ya ndani kwako siyo?.

Yaani mwanao anapambana kufanya vizuri unasema yule wa jirani yupo vizuri huyu wangu hawezi kufika popote.

Ndiyo maana watanzania kila mtu anapambana kivyake kufikia mafanikio hata mtoto nyumbani anapambana ili muda ufike aondoke nyumbani si aondoke kwa sababu ya kipindi chake kuishi kwa wazazi.

Wakati kny (mfano) wanampa support mkimbiaji wao amalize mbio hata kama yupo No. 8 ila wanampigia makofi kumtia moyo.

Na akipokea tuzo tunasema amenunua, tufanye nini ili ionekane kafaulu?.
Sehemu gani nimesema hafiki popote?

Kwani ukisikiliza ya ndani ya nje hutakiwi kusikiliza?
 
kWanZa ukweli usemwe kwenye essence tems kamfunika wizKid kinoma. ..Yani tems ndo kaubeba ule wimbo
 
Tems kitu gani bana! Mi ni mzalendo nasapoti cha nyumbani hata km ni kibovu... Na ikitokea timu yangu ya taifa ikafuzu wedikapu nitaachana na spain kwa muda... Sasa kwanini isiwe kwa zuchu? Hata km angekuwa anachuana na rihanna yule wa kwny peak bado ningebak na zuchu kwa kila hali na mali
 
Sema kizuchu nikisikilizaga ile YALAA nadindisha kinoma..kitoto kimeanza kuiva kwenye sekta ya soft porn music kutoka pale usafini.
 
Back
Top Bottom