Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 1,069
- 1,062
Hayo yote yakifanyika nyie wananchi mpo mnaangalia,RC yupo, DED yupo,DC yupo na Takukuru wapo sasa hapo mnamlalamikia nani?Kuna halmashauri iko mkoa wa KIGOMA kwa kweli watendaji wake hawafai hata kidogo.Hivi karibuni mwenge ulipita kuzindua madarasa ya UVIKO 19 sasa kwa kuwa yalijengwa chini ya kiwango ilibidi yakarabatiwe upya ili kiongozi wa mwenge asije akayakataa.wakatindua sakafu yote na kuweka nyingine, wakaziba liufa likuubwa na kupaka rangi, wizi mtupu.
Jambo la kujiuliza hilo fungu la ukarabati walilipata wapi, jibu ni rahisi tu wamechukua pesa za kujikimu za waajiriwa wapya na kufanyia huo uovu wao mpaka sasa hakuna pesa ya kujikimu iliyotolewa kwenye hiyo halmashauri.
Kwakweli kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
Zitto Kabwe na Kafulila wanasemaje?Hao wanajielewa,huku ni mwendo wa kutafuna tu,nilitegemea makamu wa rais aisimamie wilaya yake ifanye vizuri lakini wapi
Upigaji ndani ya Halmashauri unawahusu wrote hao.Hayo yote yakifanyika nyie wananchi mpo mnaangalia,RC yupo, DED yupo,DC yupo na Takukuru wapo sasa hapo mnamlalamikia nani?
Unataka aje Waziri, PM au Rais ?Ifike mahala tuache ulalamishi bali tuchykue hatua.
Kwa hiyo Kazi Yao ni ipi labda?Upigaji ndani ya Halmashauri unawahusu wrote hao.
Hao DCs na RCs sana mapato gani, zaidi ya kuomba omba pesa kwa DEDs kila siku.
Huyo Mpango hajui chochote kazi yake Ni kuzurula tu kukata utepe.
Miradi yote ambayo Wapigaji walihofia mwenge ungewazingua, waliitoa kwenye ratiba ya uzinduzi wa Mwenge. Sasa hivi wanamshikisha Mpango akipita ANAZINDUA tu kama JUHA.
Nchi hii sasa hivi 90% Ni WEZI.Kwa hiyo Kazi Yao ni ipi labda?
Aisee!Upigaji ndani ya Halmashauri unawahusu wrote hao.
Hao DCs na RCs sana mapato gani, zaidi ya kuomba omba pesa kwa DEDs kila siku.
Huyo Mpango hajui chochote kazi yake Ni kuzurula tu kukata utepe.
Miradi yote ambayo Wapigaji walihofia mwenge ungewazingua, waliitoa kwenye ratiba ya uzinduzi wa Mwenge. Sasa hivi wanamshikisha Mpango akipita ANAZINDUA tu kama JUHA.
Jibu swali Kazi ya hao niliowataja hapo juu ni ipi?Nchi hii sasa hivi 90% Ni WEZI.
Kila kona Ni UCHAWA, CONNECTION, WIZI, MICHONGO na KUBEBANA.
Kuna sehemu huku kina mradi wa jengo LA ofisi ya serikali. Budget ya jengo 180M fundi bei take 18M.
Wanatumia Force account. Material yote na kila kitu wanafanya engineers wa Mkoa wao wanapigia huko.
Huku chini walioambiwa watafute fundi ( local ) wakampa makavu, pesa ya fundi Ni 18M yeye atatoa ngapi apewe kazi. Akasema 2M.
Watu wanapiga kwenye BOQ
Kazi ya DCs na RCs Ni kulinda amani kupitia kamati ya ulinzi na usalama.Jibu swali Kazi ya hao niliowataja hapo juu ni ipi?
Wizi na connection nk havijawahi kuisha Wala kupungua Nchi hii.
Unapolinda amani unachekelea wezi?Kazi ya DCs na RCs Ni kulinda amani kupitia kamati ya ulinzi na usalama.
TAKUKURU Ni mpaka waambiwe au kupelekewa tukio. Au sometimes mpaka na wao wapewe mgawo
Hakuna cha zaidi.
Kwa akili yako hao wezi wanaiba kwa bunduki??Unapolinda amani unachekelea wezi?
Kwani Ili uitwe mwizi lazima uibe kwa bunduki?Kwa akili yako hao wezi wanaiba kwa bunduki??
Kwa taarifa yako hakuna wizi wa DED bila kula na DC.Kwani Ili uitwe mwizi lazima uibe kwa bunduki?
Sasa kama hivyo ndivyo kwa nini wenye Halmashauri ambao ni Wananchi na wabunge wasiwaripoti kwa RC, Takukuru au Wizarani?Kwa taarifa yako hakuna wizi wa DED bila kula na DC.
DC hana kipato. Anategemea OC na Fungi LA maafa. Salary 3M.
pesa za Halmashauri zinaliwa na DED, DC, Wakuu wa Idara na Madiwani.
Wrote hao ni wale wale. Kitu pekee kinachoweza kuleta mabadiliko labda ni nguvu ya umma. Siyo MTU mmoja mmojaSasa kama hivyo ndivyo kwa nini wenye Halmashauri ambao ni Wananchi na wabunge wasiwaripoti kwa RC, Takukuru au Wizarani?
Hii nchi fundi kama hautoi hela ya maji haupati tenda!Nchi hii sasa hivi 90% Ni WEZI.