Kuna haja ya uchaguzi Rwanda 2017?

Kuna haja ya uchaguzi Rwanda 2017?

Kwa kuwa miaka miwili kabla ya uchaguzi ujao 2017, 'wanyarwanda walio wengi' wameamua kubadilisha katiba ili rais Kagame (na sio mtu mwingine yoyote yule), aweze kugombea urais mpaka 2034, kuna haja ya Rwanda kupoteza fedha kufanya uchaguzi wa rais 2017? Si wangeufuta tu kupunguza matumizi magufuli style? Hao watakaompa ushindi mtu mwingine zaidi ya Kagame watatokea wapi ikiwa karibu wote wamekubali Kagame atawale mpaka 2034? :bump2:

Wewe ni mnyarwanda? je, katiba ya Rwanda inasemaje na ingekuwa vizuri ukaweka vifungu vyake hapa. Alafu utusaidie ukawaulize waendesha uchaguzi wa Rwanda. Tujifunze kujadiri kwa facts ili kuepusha hisia zetu kutawala mijadara.
 
Lugha gongana ungesema watutsi walio wengi ningekuelewa.

Kwa kuwa miaka miwili kabla ya uchaguzi ujao 2017, 'wanyarwanda walio wengi' wameamua kubadilisha katiba ili rais Kagame (na sio mtu mwingine yoyote yule), aweze kugombea urais mpaka 2034, kuna haja ya Rwanda kupoteza fedha kufanya uchaguzi wa rais 2017? Si wangeufuta tu kupunguza matumizi magufuli style? Hao watakaompa ushindi mtu mwingine zaidi ya Kagame watatokea wapi ikiwa karibu wote wamekubali Kagame atawale mpaka 2034? :bump2:
 
Kwa tunaojua ukweli tumeamua kukaa kimya tu, lakini ukweli wanaompigania Kagame ni Watutsi tu na ndio hao wanaoitwa 'Wanyanrwanda wengi'.
 
Lugha gongana ungesema watutsi walio wengi ningekuelewa.

Ndio maana nikaweka hizo alama za quotes mkuu, watutsi wa Rwanda hawapendi kujiita watutsi bali wanyarwanda tu.
 
Ila huyu Kagame ajiangalie sana Wahutu siku wakichoka hapatatosha
 
You can fool some people sometimes but you cant fool all people all time
 
Ningepewa fursa ya kuwashauri Wanyarwanda ningewashauri kuwa "kwenye katiba yao wafute kabisa masuala ya uchaguzi halafu waintroduce cheo cha ufalme"
 
Tanzania inahusishwaje na huu mjadala? Weka facts kudhibitisha madai yako kwamba watanzania ni masikini sana kuzidi wanyarwanda.

Inawezekana ikawa masikini, usiangalie ukubwa wa nchi, kila nchi ina watu wake, Rwanda watu wake wachache kutokana na uchumi wao kwa mtu mmoja mmoja ikawa upo juu.
Kuliko Tanzania uchumi mkubwa lakini uchumi huu kama tutaugawa mtu mmoja mmoja hamna kitu.
 
Sio lazima kwenu, nyie wenyewe muko vitani na umasikini.

Kama sio kwetu hua mnaenda wapi?
Umaskini wetu hautufanyi tupigane vita tena wenyewe kwa wenyewe,

Tatueni matatizo yenu msituzidishie mizigo sie 'Maskini wa Tanzania'
 
Back
Top Bottom