Lupweko JF-Expert Member Mar 26, 2009 20,693 20,454 May 15, 2021 #21 kishumbaz said: Kwa jinsi wapenda mpira tunavyoumizwa, kuna haja ya serikali kuingilia kati katika uchaguzi ujao. Click to expand... Ungetaja kinachokuumiza, usijumuishe wengine
kishumbaz said: Kwa jinsi wapenda mpira tunavyoumizwa, kuna haja ya serikali kuingilia kati katika uchaguzi ujao. Click to expand... Ungetaja kinachokuumiza, usijumuishe wengine
Gwele JF-Expert Member Jun 7, 2016 2,296 2,852 May 15, 2021 #22 Yaani wewe jamaa mawazo yako yapo kushoto kwelii yaani unataka serikali iingilie tena mpira kwa kutuwekea kiongozi Tff? Tena unaiomba kabisa serikalii duuh!
Yaani wewe jamaa mawazo yako yapo kushoto kwelii yaani unataka serikali iingilie tena mpira kwa kutuwekea kiongozi Tff? Tena unaiomba kabisa serikalii duuh!
78Kuku JF-Expert Member Mar 31, 2021 562 754 May 15, 2021 #23 Nyie utopolo tuwaeleweje mara FIFA wanazuia serikali kuingilia mpira mara serikali iingilie uchaguzi wa tff mpka mnashindwa kueleweka.
Nyie utopolo tuwaeleweje mara FIFA wanazuia serikali kuingilia mpira mara serikali iingilie uchaguzi wa tff mpka mnashindwa kueleweka.