Yaani takwimu zinaonyesha serikali ifanye haraka sana kukusanya wale woote wenye uzoefu au kujua silaha (wapiopitia jeshi)kwani kuna viashiria viashiria ambavyo hapa mbeleni panaweza kuwa sio pazuri saana na hata kama watafanikiwa hao hao serikali inaweza watumia wao kama kutuliza ghasia maana kuna mipango ambayo serikali yenyewe inaweza isiamini.
Naomba niishie hapo.
Well saidHakuna jeshi linaloweza cover idadi ya wananchi kwenye nchi husika!
Kudhibiti demokrasia kwenye nchi kwa kutegemea jeshi ni low level thinking!
Very low level!
Hakuna jeshi linaloweza cover idadi ya wananchi kwenye nchi husika!
Kudhibiti demokrasia kwenye nchi kwa kutegemea jeshi ni low level thinking!
Very low level!
Yani wewe ndo bure kabisa, before you move a muscle utakuwa umejuta, nikushauri futa mawazo hayomaana kuna mipango ambayo serikali yenyewe inaweza isiamini.
Poor usage of mind
Mmetoka kwenye ufisadi sasa mmerudi kwenye demokrasia?
Anzeni na uxhaguzi wa mwenyekiti kwanza....
unatakiwa kukamatwa ukasidie police.Yaani takwimu zinaonyesha serikali ifanye haraka sana kukusanya wale woote wenye uzoefu au kujua silaha (waliopitia jeshi)kwani kuna viashiria viashiria ambavyo hapa mbeleni panaweza kuwa sio pazuri saana na hata kama watafanikiwa hao hao serikali inaweza watumia wao kama kutuliza ghasia maana kuna mipango ambayo serikali yenyewe inaweza isiamini.
Naomba niishie hapo.
Watu wa ccm mbona mnapanic SanaWewe unatupangia cha kufanya na chama chetu kama nani?
Sio mwanachama sio yeyote ndani ya chama,unatuelekeza cha kufanya kivipi?
Haupo qualified kutuelekeza cha kufanya kwenye chama kisichokuhusu!
Na kwa ushauri wako hatuihitaji at the moment,we do not need your services,once we do,we will contact ya!
Matumizi ya ubongo wangu ni juu yangu,hayakuhusu wala sihitaji msaada wako!
Wewe una ubongo wako,worry about your own brain and not bongo zisizokuhusu!
I couldnt careless what you say about how I utilize my own brain!
Ufisadi ni hoja yetu,tumeamua kufanya hoja zingine,wewe kimekuuma!?
Go eat your own butthole!
Who cares what’chu say?
Watu wa ccm mbona mnapanic Sana
Wewe kweli wa stendiYaani takwimu zinaonyesha serikali ifanye haraka sana kukusanya wale woote wenye uzoefu au kujua silaha (waliopitia jeshi)kwani kuna viashiria viashiria ambavyo hapa mbeleni panaweza kuwa sio pazuri saana na hata kama watafanikiwa hao hao serikali inaweza watumia wao kama kutuliza ghasia maana kuna mipango ambayo serikali yenyewe inaweza isiamini.
Naomba niishie hapo.
Msamehe bure, anashindwa kufuatilia threadMimi sio mtu wa CcM,mimi nipo upinzani/opposition!
Kazi ipo huku..Hakuna jeshi linaloweza cover idadi ya wananchi kwenye nchi husika!
Kudhibiti demokrasia kwenye nchi kwa kutegemea jeshi ni low level thinking!
Very low level!
Kazi ipo huku..
Wanatuadhibu sana ...yaani. .. makovu hayawezi kupona!
Ndio maana watu wanakuwa na chuki na wageni wote!
Kumbe shida yenu huko ccm ni kuanzisha vurugu ili mmwage damu na kuua siyo?Watanzania ni Wazalendo
Achana na porojo za watu miambili mtandaoni wanaobweka huku wamejificha ndani
Wataandamana hao miambili watalambwa tu
Kipindi cha Mzee kikwete, kwenye mkutano wa chadema Arusha zilipigwa risasi kadhaa hewani
wanaume walikimbia wakaacha kina mama wakafa kwenye mkutano
Nadhani wewe ndio bure zaidi kuna haja gani ya kufanya army mobilization kwa mtu unayemuita bureYani wewe ndo bure kabisa, before you move a muscle utakuwa umejuta, nikushauri futa mawazo hayo
Wamjambishe nani?, mbona hamkutokea siku yenyewe? tafadhali usijekuwa sababu ya fujo na uvunjifu wa amani, kula kunya , kalalewakiwajambisha Kama kipindi like Cha ukuta na maandamano ya Mange