Kuna haja ya serikali ikakusanya lile jeshi la akiba

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,685
26,779
Yaani takwimu zinaonyesha serikali ifanye haraka sana kukusanya wale woote wenye uzoefu au kujua silaha (waliopitia jeshi)kwani kuna viashiria viashiria ambavyo hapa mbeleni panaweza kuwa sio pazuri saana na hata kama watafanikiwa hao hao serikali inaweza watumia wao kama kutuliza ghasia maana kuna mipango ambayo serikali yenyewe inaweza isiamini.
Naomba niishie hapo.
 
Yaani takwimu zinaonyesha serikali ifanye haraka sana kukusanya wale woote wenye uzoefu au kujua silaha (wapiopitia jeshi)kwani kuna viashiria viashiria ambavyo hapa mbeleni panaweza kuwa sio pazuri saana na hata kama watafanikiwa hao hao serikali inaweza watumia wao kama kutuliza ghasia maana kuna mipango ambayo serikali yenyewe inaweza isiamini.
Naomba niishie hapo.

Hakuna jeshi linaloweza cover idadi ya wananchi kwenye nchi husika!

Kudhibiti demokrasia kwenye nchi kwa kutegemea jeshi ni low level thinking!

Very low level!
 
Watanzania ni Wazalendo

Achana na porojo za watu miambili mtandaoni wanaobweka huku wamejificha ndani

Wataandamana hao miambili watalambwa tu

Kipindi cha Mzee kikwete, kwenye mkutano wa chadema Arusha zilipigwa risasi kadhaa hewani

wanaume walikimbia wakaacha kina mama wakafa kwenye mkutano
 
Poor usage of mind

Mmetoka kwenye ufisadi sasa mmerudi kwenye demokrasia?

Anzeni na uxhaguzi wa mwenyekiti kwanza....

Wewe unatupangia cha kufanya na chama chetu kama nani?

Sio mwanachama sio yeyote ndani ya chama,unatuelekeza cha kufanya kivipi?

Haupo qualified kutuelekeza cha kufanya kwenye chama kisichokuhusu!

Na kwa ushauri wako hatuihitaji at the moment,we do not need your services,once we do,we will contact ya!

Matumizi ya ubongo wangu ni juu yangu,hayakuhusu wala sihitaji msaada wako!

Wewe una ubongo wako,worry about your own brain and not bongo zisizokuhusu!

I couldnt careless what you say about how I utilize my own brain!

Ufisadi ni hoja yetu,tumeamua kufanya hoja zingine,wewe kimekuuma!?

Go eat your own butthole!

Who cares what’chu say?
 
Yaani takwimu zinaonyesha serikali ifanye haraka sana kukusanya wale woote wenye uzoefu au kujua silaha (waliopitia jeshi)kwani kuna viashiria viashiria ambavyo hapa mbeleni panaweza kuwa sio pazuri saana na hata kama watafanikiwa hao hao serikali inaweza watumia wao kama kutuliza ghasia maana kuna mipango ambayo serikali yenyewe inaweza isiamini.
Naomba niishie hapo.
unatakiwa kukamatwa ukasidie police.
 
Watu wa ccm mbona mnapanic Sana
 
Yaani takwimu zinaonyesha serikali ifanye haraka sana kukusanya wale woote wenye uzoefu au kujua silaha (waliopitia jeshi)kwani kuna viashiria viashiria ambavyo hapa mbeleni panaweza kuwa sio pazuri saana na hata kama watafanikiwa hao hao serikali inaweza watumia wao kama kutuliza ghasia maana kuna mipango ambayo serikali yenyewe inaweza isiamini.
Naomba niishie hapo.
Wewe kweli wa stendi
 
Hakuna jeshi linaloweza cover idadi ya wananchi kwenye nchi husika!

Kudhibiti demokrasia kwenye nchi kwa kutegemea jeshi ni low level thinking!

Very low level!
Kazi ipo huku..

Wanatuadhibu sana ...yaani. .. makovu hayawezi kupona!

Ndio maana watu wanakuwa na chuki na wageni wote!
 
Ila natural law inasemaje?

Inasema kua,uonevu unavyo endelea bila kukoma,anaeonewa kuna siku he/she will not take it anymore!

Wasubiri siku anaonewa anasema basi!

Ukiona hasemi basi,bado uonevu haujafika kwenye threshold yake!

Itafika tu,and that day will make everything interesting to CCM!
 
Watanzania ni Wazalendo

Achana na porojo za watu miambili mtandaoni wanaobweka huku wamejificha ndani

Wataandamana hao miambili watalambwa tu

Kipindi cha Mzee kikwete, kwenye mkutano wa chadema Arusha zilipigwa risasi kadhaa hewani

wanaume walikimbia wakaacha kina mama wakafa kwenye mkutano
Kumbe shida yenu huko ccm ni kuanzisha vurugu ili mmwage damu na kuua siyo?
Itakuwaje wananchi wakiwajambisha Kama kipindi like Cha ukuta na maandamano ya Mange?
Ni kweli ccm ipo kuivuruga amani ya nchi na kimsingi haioni umuhimu wa amani, umoja na mshikamano uliijengwa na kulelewa kwa zaidi ya miaka 50! Aibu yenu!
 
Majeshi yote hata uyaunganishe hayafiki 500K. Inahitaji watu wajasiri tu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom