Kati ya NMB na CRDB ni ipi inamilikiwa kiasi kikubwa na Watanzania?
Wadau,
Baada ya kuona mzee wa watu (Magufuli) anaandamwa na watu ambao walipaswa kumsaidia kuinua hali ya uchumi wa Taifa hili, watu ambao wanajua fika kwamba kupitia taasisi zao wamechangia katika kulirudisha Taifa hili nyuma kwa miongo kadhaa, watu ambao hawana shukrani kiasi ya kuombea mabaya kila kukicha, watu ambao elimu zao za uchumi hazisaidii Taifa kwa mawazo chanya, ......Nimeamua nimshauri mzee wangu JPM.
Ikumbukwe kuwa mwaka uliopita , benki ya CRDB ilishinda tenda ya usambazaji wa mishahara ya serikali, kwa maoni yangu binafsi na maoni ya watu wengi waliolitazama jambo lile kwa jicho la tatu walijiuliza iweje NMB yenye mtandao mpana wa huduma hadi vijijini, benki ambayo serikali ina hisa, benki ambayo ni mkombozi kwa walalahoi inyang'anywe tenda ile wakati ina sifa za ziada kuliko CRDB ambayo hata baadhi ya wilaya nchini haijafika?? Kwa nini tenda ile ipewe CRDB ambayo ina kiasi kidogo sana cha wafanyakazi wa serikali ambao wanapitishia mishahara yao kule?
Nani alisaidia CRDB kushinda tenda ile!!!! kitendo ambacho kimeongeza gharama za kuhamisha pesa kutoka benki ya CRDB kwenda benki nyengine ambazo idadi kubwa ya wafanyakazi wa serikali wana akaunti za mishahara? ni kwa faida ya nani?
Nichukue nafasi hii kumuomba Rais wetu mpendwa Ndugu, Dkt John Joseph Pombe Magufuli auchunguze ule mchakato wote ulioipatia benki ya CRDB tenda ya kusambaza Mishahara iliyopelekea kuongezeka kwa gharama za "inter-banking transaction" tofauti na ilivyokuwa awali.
Ni hayo tu.
Tume ya Katiba
Mcheza pool table Maarufu.

Muda umefika tuweWadau,

Muda umefika sasa tusiwaze kiumimi, CRDB Benki kupata tenda tu ni shida? Hii Benki inafanya mangapi kwa watanzania wa hali zote? Au unataka kila kitu kiende kwa wazungu tu.Wadau,
Baada ya kuona mzee wa watu (Magufuli) anaandamwa na watu ambao walipaswa kumsaidia kuinua hali ya uchumi wa Taifa hili, watu ambao wanajua fika kwamba kupitia taasisi zao wamechangia katika kulirudisha Taifa hili nyuma kwa miongo kadhaa, watu ambao hawana shukrani kiasi ya kuombea mabaya kila kukicha, watu ambao elimu zao za uchumi hazisaidii Taifa kwa mawazo chanya, ......Nimeamua nimshauri mzee wangu JPM.
Ikumbukwe kuwa mwaka uliopita , benki ya CRDB ilishinda tenda ya usambazaji wa mishahara ya serikali, kwa maoni yangu binafsi na maoni ya watu wengi waliolitazama jambo lile kwa jicho la tatu walijiuliza iweje NMB yenye mtandao mpana wa huduma hadi vijijini, benki ambayo serikali ina hisa, benki ambayo ni mkombozi kwa walalahoi inyang'anywe tenda ile wakati ina sifa za ziada kuliko CRDB ambayo hata baadhi ya wilaya nchini haijafika?? Kwa nini tenda ile ipewe CRDB ambayo ina kiasi kidogo sana cha wafanyakazi wa serikali ambao wanapitishia mishahara yao kule?
Nani alisaidia CRDB kushinda tenda ile!!!! kitendo ambacho kimeongeza gharama za kuhamisha pesa kutoka benki ya CRDB kwenda benki nyengine ambazo idadi kubwa ya wafanyakazi wa serikali wana akaunti za mishahara? ni kwa faida ya nani?
Nichukue nafasi hii kumuomba Rais wetu mpendwa Ndugu, Dkt John Joseph Pombe Magufuli auchunguze ule mchakato wote ulioipatia benki ya CRDB tenda ya kusambaza Mishahara iliyopelekea kuongezeka kwa gharama za "inter-banking transaction" tofauti na ilivyokuwa awali.
Update: 19-08-16
Nasikia "Kimei" kakanusha taarifa zilizonukuliwa na magazeti kupitia mkurugenzi wa masoko.....Niwahakikishieni tu kuwa, "Kimei" ni lazima atambue kuwa JPM hajaribiwi.
Ni hayo tu.
Tume ya Katiba
Mcheza pool table Maarufu.
Mwee kisa Kimei kasema hali ya uchumi ni tete ?
Eti na wewe unajiita mshauri wa rais ?
Duuu!!baada ya Dk. kimei kuwachana LIVE kwamba uchumi wa nchi kwa sasa uko ICU mmeshaanza kumwekea mizengwe.
Nafikiri hii ni kampeni inatengenezwa. Ngoja tuendelee kuangalia episode zinazofuata!Wadau,
Baada ya kuona mzee wa watu (Magufuli) anaandamwa na watu ambao walipaswa kumsaidia kuinua hali ya uchumi wa Taifa hili, watu ambao wanajua fika kwamba kupitia taasisi zao wamechangia katika kulirudisha Taifa hili nyuma kwa miongo kadhaa, watu ambao hawana shukrani kiasi ya kuombea mabaya kila kukicha, watu ambao elimu zao za uchumi hazisaidii Taifa kwa mawazo chanya, ......Nimeamua nimshauri mzee wangu JPM.
Ikumbukwe kuwa mwaka uliopita , benki ya CRDB ilishinda tenda ya usambazaji wa mishahara ya serikali, kwa maoni yangu binafsi na maoni ya watu wengi waliolitazama jambo lile kwa jicho la tatu walijiuliza iweje NMB yenye mtandao mpana wa huduma hadi vijijini, benki ambayo serikali ina hisa, benki ambayo ni mkombozi kwa walalahoi inyang'anywe tenda ile wakati ina sifa za ziada kuliko CRDB ambayo hata baadhi ya wilaya nchini haijafika?? Kwa nini tenda ile ipewe CRDB ambayo ina kiasi kidogo sana cha wafanyakazi wa serikali ambao wanapitishia mishahara yao kule?
Nani alisaidia CRDB kushinda tenda ile!!!! kitendo ambacho kimeongeza gharama za kuhamisha pesa kutoka benki ya CRDB kwenda benki nyengine ambazo idadi kubwa ya wafanyakazi wa serikali wana akaunti za mishahara? ni kwa faida ya nani?
Nichukue nafasi hii kumuomba Rais wetu mpendwa Ndugu, Dkt John Joseph Pombe Magufuli auchunguze ule mchakato wote ulioipatia benki ya CRDB tenda ya kusambaza Mishahara iliyopelekea kuongezeka kwa gharama za "inter-banking transaction" tofauti na ilivyokuwa awali.
Update: 19-08-16
Nasikia "Kimei" kakanusha taarifa zilizonukuliwa na magazeti kupitia mkurugenzi wa masoko.....Niwahakikishieni tu kuwa, "Kimei" ni lazima atambue kuwa JPM hajaribiwi.
Ni hayo tu.
Tume ya Katiba
Mcheza pool table Maarufu.
Bank ya Crdb ni benki kubwa sana na yenye mtando mpana wanao mawakala wao kila kona na matawini yanayo tembea na wanakopesha kwenye kilimo mikopo mikubwa. Wanastahili sana kutunza hela na kusambaza hela ya selikali!sasa iweje leo mpinge bila sababu?Uchumi lazima upitie ICU kwanza baada ya kuondoa uhai wa mafisadi ambao ndiyo waliokuwa wanaushikilia. Nothing is strange....lakini kwa vile upo ICU na Mungu hubariki mema basi utakapo toka huko basi utakuwa imara zaidi ya ulivyokuwa mikononi wa wevi....nchi gani ambayo transaction zote zinategemea pesa za serikali?
Mnaomba sana Rais ashindwe kuweni na uhakika maisha bora kwenu na vizazi vyenu ndicho kisasi atakachokilipiza Mh. Rais kwenu.
Tanzania njema ni lazima apende au asipende mtu...tutaelewana tu!
CRDB ni benki ya kitanzania na inachangia sana kujenga uchumi wa nchi yetu na ndio inaongoza kutoa mikopo kwa miradi ya serikali. Kwa nini yenyewe isipate? Au kwa kuwa ni benki ya watanzania na sisi Siku zote tunataka wapate wazungu wa NMB. Kweli umaskini hautaisha Tanzania
Ukipita kwa umakini maneno yako utabaini kuwa hakuna hoja ya msingi. Kuhusu kusambaa naamini CRDB wamesambaa sana. Na ni ipi hasa maana ya tenda? ule sio uteuzi. Out of banks wao wameshinda tenda. Isiwe nongwa. Au ndo ukoloni wa kuona benki yenye wazungu ndo ipewe tenda??Wadau,
Baada ya kuona mzee wa watu (Magufuli) anaandamwa na watu ambao walipaswa kumsaidia kuinua hali ya uchumi wa Taifa hili, watu ambao wanajua fika kwamba kupitia taasisi zao wamechangia katika kulirudisha Taifa hili nyuma kwa miongo kadhaa, watu ambao hawana shukrani kiasi ya kuombea mabaya kila kukicha, watu ambao elimu zao za uchumi hazisaidii Taifa kwa mawazo chanya, ......Nimeamua nimshauri mzee wangu JPM.
Ikumbukwe kuwa mwaka uliopita , benki ya CRDB ilishinda tenda ya usambazaji wa mishahara ya serikali, kwa maoni yangu binafsi na maoni ya watu wengi waliolitazama jambo lile kwa jicho la tatu walijiuliza iweje NMB yenye mtandao mpana wa huduma hadi vijijini, benki ambayo serikali ina hisa, benki ambayo ni mkombozi kwa walalahoi inyang'anywe tenda ile wakati ina sifa za ziada kuliko CRDB ambayo hata baadhi ya wilaya nchini haijafika?? Kwa nini tenda ile ipewe CRDB ambayo ina kiasi kidogo sana cha wafanyakazi wa serikali ambao wanapitishia mishahara yao kule?
Nani alisaidia CRDB kushinda tenda ile!!!! kitendo ambacho kimeongeza gharama za kuhamisha pesa kutoka benki ya CRDB kwenda benki nyengine ambazo idadi kubwa ya wafanyakazi wa serikali wana akaunti za mishahara? ni kwa faida ya nani?
Nichukue nafasi hii kumuomba Rais wetu mpendwa Ndugu, Dkt John Joseph Pombe Magufuli auchunguze ule mchakato wote ulioipatia benki ya CRDB tenda ya kusambaza Mishahara iliyopelekea kuongezeka kwa gharama za "inter-banking transaction" tofauti na ilivyokuwa awali.
Update: 19-08-16
Nasikia "Kimei" kakanusha taarifa zilizonukuliwa na magazeti kupitia mkurugenzi wa masoko.....Niwahakikishieni tu kuwa, "Kimei" ni lazima atambue kuwa JPM hajaribiwi.
Ni hayo tu.
Tume ya Katiba
Mcheza pool table Maarufu.
Acheni majungu fanyeni kazi.. Mbona mnashindwa kuliza NmbDuuu!!baada ya Dk. kimei kuwachana LIVE kwamba uchumi wa nchi kwa sasa uko ICU mmeshaanza kumwekea mizengwe.

Mcheza pool table Maarufu.[/QUOTE
Hii ni kuhujumu uchumi. Mnataka Na benki kubwa kama CRDB kuivuruga. Duuh sijui tutafika wapi

Nafikiri hii ni kampeni ya kuuwa credibility ya benki kubwa ya CRDB bank. Hatupendi vya kwetu, Roho mbaya kwa wanaofanikiwa ndio inatufikisha hapa.