CRDB ni benki ya mafisadiMkuu nadhani hawa crdb katika fair competition hawawezi zaidi ya lobbing. sehemu walizoshinda zote waulize madiwaniw alikula ngapi,Deds,teds. leo ktk sehemu walizoshinda hatoi na mikopo sasa sijui ndio nini hiki. Kwangu Nmb itabaki kuwa benki bora kwa sasa.