Kuna haja ya kumjulisha?

Ubaya haulipwi kwa ubaya, wewe mwambie ikiwezekana na jina atoe yeye.
 
Ubaya haulipwi kwa ubaya, wewe mwambie ikiwezekana na jina atoe yeye.

mie sioni haja ya yeye kujulishwa lolote.....kama wazazi wake wanamhudumia basi hata jina watoe wazazi.....huyo mwanaume aendelee na yake.......na bibie afanye yake.........maana akufaae kwa dhiki ndiye rafiki......
 
naww acha kujipaka mafuta ww vp?
Mpe ushaur ww sasa. Hvi wakat wanavuana vyupi walikuja kutuomba ushaur?
Acha kulealea watu bhana

Mkuu hapo kwenye kekundu ulipaswa nikuchape ban ya nguvu.
otherwise jaribu kuvaa kiatu cha mlita uzi then tafakari
 
Mashtaka ya mimba yamekuwa mengi sana humu ndani, jmani wanaume kama vipi msiwe mnakojoa au mwe mnavaa ndomu tu sasa, tumeshachoka sasa
 
Haya mambo huwez kuamua kwa kuangalia tamati bila kuangalia chanzo...sasa unamuambia usimuambie umuambie halafu????

pierre tall, mwenye uzi hajaleta kesi. minimeelewa kama mleta uzi ame hit the piont, i mean amekuna kufikia pale mkono ulipo ishia. anachitaji ni ushauri wa kwamba amwambie jamaa au hakuna haja ya kumwambia?Hii kitu ipo very clear
:frusty::whip:
 
kupata khabari ni haki yake ya msingi utakuwa umekiuka katiba kama hutamfahamisha.
 
no, ucninyamanzie bby plz stl have u lv waz just kidng lv u bby nambie2 k, mc u xaana tel mama n baba mkwe dat a lv dem n mc dem take care k byeeeeee
 
kupata khabari ni haki yake ya msingi utakuwa umekiuka katiba kama hutamfahamisha.

Kwenye katiba hii kitu imeandikwa ? Huyo ni mkwepa majukumu haiwezekani mtu ajikaushe hata kuuliza mwanamke wake anaendeleaje au ndio alilkuwa amemtumia matumizi yake yameisha sio sawa kabisa!useless man
 
no, ucninyamanzie bby plz stl have u lv waz just kidng lv u bby nambie2 k, mc u xaana tel mama n baba mkwe dat a lv dem n mc dem take care k byeeeeee
Ni nini hii mkuu mbona kama umeandika ujumbe wa simu ?
 

Eeeh. Kaa kimya
 
Kumjulisha sio dhambi kuumbwa sana ..ww mjulishe
 
Jamani hivi hili wimbi la wadada kupewa mimba na kuachwa mbona linazidi cku hadi cku?
 
mwambie tu ufanye unamheshimu u know men we like respect !!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…