Sina mawasiliano mazuri na my x na nibaada ya kuwa na ujauzito.
Hapo nyuma tulikua na mawasiliano mpaka ujauzito ulipofika miez 7 ndo akanitamkia hanipendi tena.. kisa nimemuuliza kwa nini anaficha simu yake na akiingia ndani anaizima au anaweka silent kifupi story ni ndefu.
Sasa basi tangu ujauzito unamiezi 7 hajawahi kunipigia simu wala message ya kuniuliza naendeleaje wala kujua afya yangu mpaka sasa miezi tisa nauliza wenzangu mungu akinisaidia nikajifungua salama kuna haja ya kumjulisha kama nimejifungua?
Nikae tu kimya maana niliondoka kwake nipo kwetu na nahudumiwa na wazazi wangu.